Deo filikunjombe amethubutu hakika anasonga mbele

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Huyu jamaa hakika ni machine ndani ya CCM kwani amedhihirisha hilo bungeni.Bila woga wowote amesimamia ukweli kwa kutaja waziwazi majina ya mawaziri ambao anawaita ni mchwa kwa kutafuna fedha za umma.Hili ni jambo la kishujaa sana ambalo linapaswa kupongezwa na kuigwa na wabunge wote wa CCM.Kwani kosa wanalolifanya CCM ni kuacha kuangalia matatizo ya wananchi na kuangalia chama zaidi.Ikitokea issue yoyote ccm wanaangalia ina madhara gani kwa chama na siyo ina madhara gani kwa wananchi.Hali hii imewafanya kukumbatia hata mambo ya ovyo kama ufisadi kwa kuogopa kuharibu umoja wao katika ccm.Ndio maana utakuta huko dodoma kipindi hiki cha bunge utakuta ccm baada ya vikao vya bunge wanakuwa na vikao vyao vya kuwekana sawa.Jambo hili CHADEMA wame capitalise wako na wananchi kwa ukaribu mkubwa.Ni wakati sasa wa watu wa CCM wote kubadilika na kuwatumikia wananchi,kumbukeni maneno ya MILLYA,"CCM si baba wala mama yangu". you have to put first the intersts of the country and subordinate the interests of the party.
 
But the interest of the political party must marry that of the country (citizens)!!
 
Hebu tusubiri Leo.

Nasikia kuna kura za kutokua na Imani na waziri mkuu zinapigwa Leo. is this true?
 
tusubiri sahihi sabini za kumshughulikia Pinda; za cdm peke yake hazitoshi - je ccm wataonyesha kuwa waliyokuwa wanayasema hayakuwa maneno matupu?
 
Huyu jamaa hakika ni machine ndani ya CCM kwani amedhihirisha hilo bungeni.Bila woga wowote amesimamia ukweli kwa kutaja waziwazi majina ya mawaziri ambao anawaita ni mchwa kwa kutafuna fedha za umma.Hili ni jambo la kishujaa sana ambalo linapaswa kupongezwa na kuigwa na wabunge wote wa CCM.Kwani kosa wanalolifanya CCM ni kuacha kuangalia matatizo ya wananchi na kuangalia chama zaidi.Ikitokea issue yoyote ccm wanaangalia ina madhara gani kwa chama na siyo ina madhara gani kwa wananchi.Hali hii imewafanya kukumbatia hata mambo ya ovyo kama ufisadi kwa kuogopa kuharibu umoja wao katika ccm.Ndio maana utakuta huko dodoma kipindi hiki cha bunge utakuta ccm baada ya vikao vya bunge wanakuwa na vikao vyao vya kuwekana sawa.Jambo hili CHADEMA wame capitalise wako na wananchi kwa ukaribu mkubwa.Ni wakati sasa wa watu wa CCM wote kubadilika na kuwatumikia wananchi,kumbukeni maneno ya MILLYA,"CCM si baba wala mama yangu". you have to put first the intersts of the country and subordinate the interests of the party.

Wakuu kwa hili mie nilishindwa kumwelewa Lukuvi yeye alikuwa ni mnafiki anataka vielelezo gani wakati tayari CAG alisha gawa yale ma book yana details zote alitaka vithibitisho vipi zaidi ??

Inamaaaa kumbe hata yale mabook ya CAG ni useless tuu au ni ya kupigia porojo ndani ya bunge na yasifuatiliwe tena?

My Take;

LUKUVI you must Goooooooo na wewe

KAMA kuna mtu anayumbisha na kupotosha serikali ni LUKUVI, nakubali he must go, the door is wide ajar. Nenda hata ismani mashamba yapo, kwani serikali mpaka wewe umemo, nenda LUKUVI ukalime kilimo cha mfano labda utawafaa wana ismani na pengine taifa kwa hilo. Sio uwazi wa kupinga kila kitu, huku ikijua utaua CCM na Serikali mbaya zaidi nchi.
 
Deo ni Jembe la ukweli wabunge wengine wa ccm muige mfano sio mnakibeba chama tu angalieni arumeru mlivyodondokea pua.
 
Hebu tusubiri Leo.

Nasikia kuna kura za kutokua na Imani na waziri mkuu zinapigwa Leo. is this true?
..Jana Zitto Kabwe alichachamaa bungeni kwa kuwa Waziri Mkuu hakuchukua hatua kutokana na tuhuma za hao mawaziri basi ameamua kuwashawishi wabinge wote kupiga kura ya kutokuwa na imani na mtoto wa mkulima. So zinatakiwa sahihi za wabunge 70 tu. Pinda amwagwe!!
 
Back
Top Bottom