Search results

  1. S

    KUHUSU Wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili kutoka heslb

    wana JF hawa wanafunz wamepata kwa sababu wengi wao walipeleka barua za malalamiko na vithibitisho mbalimbali mapema. nadhani wataongeza majina mengine kwa wale waliochelewa kupeleka barua hizo.
  2. S

    Emergence newz emergence newz emergence newz emergence newz: Kwa waliokosa mkopo

    wale waliokua wanadai mkopo na kukutana wizara ya elimu, kesho wanakutana kwa wazr wa elimu saa 1 asubuh, kiongoz ameniambia ni2me kwa wa2 10, nadhani kwa njia hii ujumbe umefka kwa wa2 zaid ya 10, naomba mumpe ushirikiano
  3. S

    Kwa waliokosa mkopo

    Wale waliokuwa wanadai mkopo na kukutana wizara ya elimu, kesho wanakutana kwa waziri wa elimu saa 1 asubuhi, kiongozi ameniambia nitume kwa watu 10, nadhani kwa njia hii ujumbe umefika kwa watu zaid ya 10. Naomba mumpe ushirikiano
  4. S

    Msaada : Kwa mliochaguliwa university of dar es salaam

    wana JF mlochaguliwa UDSM naomben mnijuze kinachoendelea huko, hasa kuhusu waliokosa mkopo.
  5. S

    Msaada kuhusu higher learning students loans board ( heslb )

    naomba kuuliza, hivi bodi ya mkopo ilipewa wiki 2 kuhakiki waliokosa mikopo kwa lengo gani? mbona sijaona matokeo yoyote baada ya uhakiki wao?
  6. S

    Musterbation hufanyikaje? Je ina madhara gani kwa watumiaji ?

    naomben michango yenu juu hilo.
  7. S

    Kwa wale wataalam wa kiswahil naomben mawazo ya hili

    niambieni mzizi wa neno ' ALIYETAPISHA' Mi nimkal lkn hil limenishinda, haya karibun kwa majib
  8. S

    Ridhiwan naomba nisomee mkopo wa mkeo.

    mimi ni mtoto, wa mfugaj nakuomba bro ridhi hela aliyopewa mkeo uirudishe isaidie wanyonge, najua unafaham mkeo hakustail mkopo lkn amepata kwasababu bodi imewekwa na dingi yako. wa JF ndio malengo ya milenia haya au ndicho 2lichokuagiza kuzungumza na mshua.
  9. S

    Kwa wale waliochaguliwa udsm bila mkopo, jaman j3 ndio hiyo, opening day

    2liochaguliwa udsm bila mkopo, napenda kufaham wenzangu mna mikakat gan? au 2naenda kuripot kibabe, je hawatatunyanyapaa? hebu 2wekane sawa wana JF wenzangu.
  10. S

    Bachelor of Education in Physical Education and Sport Science

    Kwa anaefaham chochote kuhusu hiyo kozi inayotolewa na UDSM naomba anipe mawazo, kuhusu usomaji wake, field, na future. Karibun wana JF wenzangu! Soma zaidi:
  11. S

    Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Hivi tatizo kupinda kwa uume husababishwa na nini? Je, wanawake huwa mnafeel nini wakati wa tendo na uume wa namna hii? Je, hii hawezi kusababisha ugumba? --- --- --- === UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Kupinda Kwa Nyeti Ya...
  12. S

    Suluhisho la mgogoro wa mkopo heslb

    mi naona kama bajet kweli haitosh, Serikal izame kitengo cha maafa wacsubir mpaka mel izame au mabom yalipuke, hata watu elfu 14 kukosa mikopo mi naona ni maafa pia kwan haijawah kutokea.
  13. S

    Heslb heslb heslb heslb heslb heslb heslb heslb heslb

    hv hawa HESLB wanadhan kuwanyima equivalent mkopo ndio soln. mbona kuna equivalent weng wajanja tena waliopo kazini wame aply direct TCU na vyet vya fom 6 wakapata mkopo? nawashaur equivalent waaply direct TCU mwakan watapata mkopo hata kama mna mshahara, vigezo vya HESLB vyote vina kasoro.
  14. S

    :-( tatizo la mkopo :-(

    wana Jf nlckia kuna safari ya kwenda kwa wazr mkuu leo kwa wale walokosa mkopo, naomba mnijuze klchojir huko
  15. S

    suala la ku appeal heslb

    wana JF naomba kuuliza, hiv kama m2 hajapata mkopo kabisa kwa sababu ya PRIVIOUS LOANEES anaweza ku appeal? kama anaweza, Je ?utaratib wa ku appeal ukoje? maana nlckia wanao appeal ni wale waliopunjwa.
  16. S

    HESLB, TCU dhidi ya vyuo

    kuna mazingra ya rushwa kati ya heslb, tcu dhidi ya vyuo visivyo na umaarufu, ambavyo kwa mfumo huu wa tcu ni vigumu kupata wanafunz hapo ndipo dili zinachezwa, ndio maana m2 ana E E F kapewa chuo na mkopo tena kwa koz isiyo ya kipaombele. huo ni mtazamo wangu, mnalionaje hli wana JF?
  17. S

    heslb

    jamani hawa heslb kwa nn fom 6 wa mwaka huu 2cwawajibishe? sababu 2nayo na uwezo 2nao cjui kama nia 2nayo.
Back
Top Bottom