Heslb heslb heslb heslb heslb heslb heslb heslb heslb

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
hv hawa HESLB wanadhan kuwanyima equivalent mkopo ndio soln. mbona kuna equivalent weng wajanja tena waliopo kazini wame aply direct TCU na vyet vya fom 6 wakapata mkopo? nawashaur equivalent waaply direct TCU mwakan watapata mkopo hata kama mna mshahara, vigezo vya HESLB vyote vina kasoro.
 

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,552
691
duh m2 akikwambia usipanic ujue unaonekana unamihasira dah. unachokisema ni sawa kwa maana ya bodi ya mikopo imekuwa ikiwanyima baadhi ya kada na hutoa sababu na moja wapo ni ufinyu wa bajeti. na pesa wao hutoa serikalini, what should they do? should we blame the minister of education? president? hazina? bunge zima kwa kukubali kupitisha bajeti/fungu dogo?
tafakari
 

Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
71
hv hawa HESLB wanadhan kuwanyima equivalent mkopo ndio soln. mbona kuna equivalent weng wajanja tena waliopo kazini wame aply direct TCU na vyet vya fom 6 wakapata mkopo? nawashaur equivalent waaply direct TCU mwakan watapata mkopo hata kama mna mshahara, vigezo vya HESLB vyote vina kasoro.
.
Mkuu naomba unisaidie kidogo hapo,kama mimi nimemaliza hapa DIT ninadiploma yangu,bahati mbaya sina cheti cha form six nitaaply vp?.Nilitaka nitumie nafas hii ya 3rd application kuomba chuo kupitia TCU,HESLB hawana jipya,tutasoma tu hata wabane vp!!
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
Ujumbe wako sijauelewa. Si kila mtu aliye apply kama Equivalent ana uwezo wa kuapply kama direct.
Mf. Aliyepata div four form six thena akaamua kwenda diploma. Huyu lazma atumie cheti cha diploma kuomba chuo, ambayo itakuwa ni Equivalent. Hawezi kutumia cheti cha six ili awe direct.
Wapo wenye diploma ila vyeti vyao vinawaruhusu kuomba kama direct.
Kuna wale baada ya kutoka form four walijiunga na technical kuchukua FTC, hawa wanakuwa regarded as six leaver.
USHAURI WAKO HAUNA MASHIKO.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom