Msaada : Kwa mliochaguliwa university of dar es salaam

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
wana JF mlochaguliwa UDSM naomben mnijuze kinachoendelea huko, hasa kuhusu waliokosa mkopo.
 
Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,322
1,094
Ndugu mpaka saiv hakijulikan kinachoendelea hapa chuon...maana kabla hujafanyiwa registration lazima uoneshe risit ya benk kuonesha kama umelipa...ntakupa taarifa zaidi ya kinachoendelea
 
stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
Ndugu mpaka saiv hakijulikan kinachoendelea hapa chuon...maana kabla hujafanyiwa registration lazima uoneshe risit ya benk kuonesha kama umelipa...ntakupa taarifa zaidi ya kinachoendelea

ok mkuu
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,039
1,834
natakanije kesho mkuu. nimeona kuna kijana ulimpokea ambae hakua na mkopo, vp anaendeleaje?

yule kijana bado niko nae,2meenda bodi wame2pa hopes kwamba kabla ya j3 kuna majina mengne yataongezwa,so ndo 2nasubiria hapa.
 
MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
yule kijana bado niko nae,2meenda bodi wame2pa hopes kwamba kabla ya j3 kuna majina mengne yataongezwa,so ndo 2nasubiria hapa.
Dah,lets cross our fingers wakuu.Kama kuna maelezo zaidi tuwekee hapa mkuu thanks kwa hiyo info.
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,988
1,940
yule kijana bado niko nae,2meenda bodi wame2pa hopes kwamba kabla ya j3 kuna majina mengne yataongezwa,so ndo 2nasubiria hapa.

njema sana mkuu senetor kwa updates,juzi nilikua UCC niki browse kidogo nikafungua web ya Heslb nikafungua kwenye loan results nikaona New loan allocation for 1yr students kwa waliokosa mkopo so nika click kujua list ikaandika Error 404 nikajua kuna list itatoka.mi dogo yupo Udsm hakupata loan so nina imani watapata tu.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom