wana JF hawa wanafunz wamepata kwa sababu wengi wao walipeleka barua za malalamiko na vithibitisho mbalimbali mapema. nadhani wataongeza majina mengine kwa wale waliochelewa kupeleka barua hizo.