naomba kuuliza, hivi bodi ya mkopo ilipewa wiki 2 kuhakiki waliokosa mikopo kwa lengo gani? mbona sijaona matokeo yoyote baada ya uhakiki wao?