Hivi nyie mnadhani hawa viongozi wetu bila kufanya nguvu za ziada wataelewa!, Mimi sio mwanafunzi.., Ila ushauri wangu ni kama mnaweza fanyeni mipango ya maandamano ya Amani kuwafikishia ujumbe..., maana tunajua kabisa wapo ambao hawakustahili kupata hiyo mikopo na wamepata.., na wale ambao wanastahili hawakupata. Ila ukweli ni kwamba Kila mwanafunzi anastahili kupata huo mkopo as long amefaulu vizuri na kupata chuo na ni mtanzania.
Vijana ingieni barabarani tutawasupport.
Mm mpaka sasa hela niliyoipata ni laki tano. Nimechaguliwa udom na nimekosa mkopo na leo ndio mwisho wa kulipa ada. So nimeamua siku ya registration nitaenda kujuana nao huko huko kiwanjan mana nasikia wanafunz wanajisaliji kiwanja cha michezo.
hyo mipango ni mpaka vyuo vifunguliwe mkuu.
Ni sawa, lakini si wafungua wiki ijayo tu!. sio mbali.., wajipange.
tatzo nyie wazazi nao,udsm 2kigoma mna2ita wahuni,kwa hli la sa hz mtuunge mkono kwa kweli.
tatzo nyie wazazi nao,udsm 2kigoma mna2ita wahuni,kwa hli la sa hz mtuunge mkono kwa kweli.
sauwaaa gomeni ila angalieni mcje mkachukua miaka mi4 kumaliza degree ya miaka mi3...........
2liochaguliwa udsm bila mkopo, napenda kufaham wenzangu mna mikakat gan? au 2naenda kuripot kibabe, je hawatatunyanyapaa? hebu 2wekane sawa wana JF wenzangu.
Sasa we unadhani kama hawana hela za kujikimu na kulipia Tution watamaliza kwa hiyo miaka 3.
uandishi wako una matatizo kweli.
2wekane=?.
2naenda=?.
2liochaguliwa=?.
Upuuzi mtupu.