Search results

  1. B

    Unaweza kumuacha mtu unayependa kwa dhati kisa umeshauriwa na watu?

    Habari waungwana. Kwanza kabisa tuvumiliane. Leo nina swali, hivi unaweza kumuacha mtu unaye mpenda kwa dhati kwa kushauriwa na mtu au watu ? Hii hasa nauliza jinsia ya kike. Karibuni aisee, tupeane muongozo.
  2. B

    Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

    Habari ya usiku huu. Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja. Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza...
  3. B

    Swali kuhusu simu ya Infinix

    Habari wadau wa humu jukwaani. Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery yake kuna Private folder la picha,anadai amesahau Password na akitaka pia kulifuta hawezi. Sasa...
  4. B

    Msaada: Tatizo la picha kujirudia rudia (Multple photos) katika simu

    Habari waungwana, kuna changamoto ya kujirudia rudia kwa picha na ma file mengine katika simu hasa "Audio" na "Video". Msaada : 1. Naomba kujuzwa ni kitu husababisha kujirudia rudia (Multiple) kwa mafile katika simu, yaani audio zinakuwa mbili mbili, au folder za mapicha zinakuwa mbili mbili...
  5. B

    WhatsApp na Telegram hazifanyi kazi katika simu yangu

    Habari jamaa katika jukwaa hili, siku za nyuma nilikuja na shida moja kuhusu simu yangu, nashukuru kwa kunipa ushirikiano mzuri na tatizo liliisha. Nimerudi tena na tatizo lingine katika simu yangu, natumia "Tecno W5".Hii simu nimeona ghafla WhatsApp haifanyi kazi yaani bando lipo la kutosha...
  6. B

    Simu Card za VodaCom hazisomi kwenye simu yangu naomba ufafanuzi

    Habari ya usiku waungwana, kama kuna mjuzi anisaidie kutatua tatizo langu. Nina simu yangu aina ya TECNO, line za voda hazisomi yaani kila nikiweka inasomeka "No Service". Hii haijalishi nikibadilisha "Slot" yaani kote kote haisomi, ika nikiweka katika simu ndogo aina ya kitochi line za VodaCom...
Back
Top Bottom