Habari ya usiku waungwana, kama kuna mjuzi anisaidie kutatua tatizo langu.
Nina simu yangu aina ya TECNO, line za voda hazisomi yaani kila nikiweka inasomeka "No Service". Hii haijalishi nikibadilisha "Slot" yaani kote kote haisomi, ika nikiweka katika simu ndogo aina ya kitochi line za VodaCom zinasoma bila shida yoyote.
Hili tatizo lina sababishwa na nini na vipi naweza kulitatua ?
Natanguliza shukrani.