Search results

  1. L

    Naomba ushauri kuhusu tatizo hili la macho

    Wakuu habari zenu, nimekuwa nikisumbuliwa na kichwa at least once and at most twice a week. Baada ya kuona hilo tatizo nikaamua kujisogeza hospital kwa ajili ya vipimo. Baada ya kufika hospitali na kufanyiwa vipimo ikaonekana sina ugonjwa wowote ule. Ikanibidi niende clinic ya macho na hapo...
  2. L

    Android Application Development.

    Wakuu natumaini mu wazima wa afya, karibu hapa tujadiliane kidogo kuhusiana na maswala ya Android application development. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakihitaji kuingia kuna Android Development lakini wanakosa pa kuanzia sasa hapa nazani patawafaa sana. Natambua kuna nyuzi kadhaa zimewahi...
  3. L

    Wazo la kutengeneza mobile app

    Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya. Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto iliyopo kwenye jamii ambayo inaweza tatuka Kwa mobile app basi tuahilikishane. Mimi ntaanzia kazi...
  4. L

    Fantasy Premier League(FPL) Official Thread

    Kwa wale wapenzi wa mchezo wa Fantasy Premium League, huu utakuwa uzi wetu wa kubadilishana mawazo nakuona namna ya kupata hiyo nafasi ya kwende Uingereza kuangalia mpira game kadhaa za uchaguzi wako.
  5. L

    Njia gani bora zaidi ya ku package classes

    Habari wakuu, ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Kwa wale ambao Kwa namna moja ama nyingine hawapo sawa kiafya nawaombea Kwa Mungu awajalie afya tele. Sasa moja Kwa moja niende kwenye mada, ambapo leo ningependa tujue namna bora ya kutenga classes ambayo ni bora zaidi. Mfano ukiwa na...
  6. L

    GBWhatsapp kuwa na matangazo

    Wakuu GBWhatsapp baada ya kuiupdate kwenda current version imekuja na matangazo yasiyoeleweka. Msaada wenu wenu njinsi ya kuondoa hivi vimatangazo maana nimejaribu kuondoa kamoja ila kakahamia juu ya icon ya kustart new message.
  7. L

    Namna ya kutengeneza Nywila (Password) imara

    Habarini wana jukwaa, ni matumaini yangu kuwa wengi wetu tu wazima wa afya. Na ni wape pole wale wote walio wagonjwa pengine wapo kitandani au mahala pengine, basi Mungu awaponye na warudi katika hali zao za kawaida. Basi bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada nilio waletea leo...
  8. L

    Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza API

    Wakuu nataka kutungeneza API sasa nilikuwa naomba muongozo kwa ujumla ni lugha gani zinatumika, fiaida na hasara ya lugha husika in general kuhusiana kutengeneza API.
  9. L

    Msaada wa namna ya kupata softcopy za hiki kitabu

    Android Studio 4.1 Development Essentials - Kotlin Edition: Developing Android 11 Apps Using Android Studio 4.1, Kotlin and Android Jetpack Book by Neil Smith Wakuu kwa yeyote anaeweza nisaidia kupata softcopy ya hichi kitabubnitashukuru sana.
  10. L

    Njoo tuambizane ni nani ungependa kukutana naye

    Wakuu unajua kuna muda unasema ningekutana na mtu huyu basi ningependa kujua moja mbili tatu, basi hapa ni mahala pako pengine ukapata nafasi hiyo. Mimi binafsi ningependa kukutana na wafuatao 1. John Pombe Magufuli (Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) [emoji117] Huyu swali langu kubwa...
  11. L

    Application zinazotumia Internet ila hazihitaji data

    Habari za saa hii wakuu, Kuna baadhi ya application ambazo zinatumia internet ila hazihitaji data(MB kutoka kwa ISP) mfano Nala. Sasa swali langu jee behind the scene hawa jamaa wanaliwezeshaje hili jambo Chief-Mkwawa
  12. L

    Naombeni muongozo kuhusu hili la API

    Habarini wakuu, nipo najifunza mobile development na nilikuwa nimefikia kipengele cha kutumia API, nimetumia API zile za free na nimepata matokeo chanya. Sasa changamoto yangu ni jinsi ya kupata vitu vya muhimu kama key kwa ajili ya kutumia mfano nilikuwa nahitaji key za hii API lakini...
  13. L

    DataSet ya Child Abuse

    Habarini wana jukwaa pendwa la Tech ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Naomba kwa anayefaham site ambayo naweza pata dataset ya Child Abuse ila kama pia ushawahi fanya na una data set yako pia ni ruksa kunisaidia. Natumaini nitazipata hapa kwa maana hapa kuna kila aina ya vitu...
  14. L

    Kwa anayeifahamu hii movie

    Kwa anayeifahamu hii movie msaada jamani wa jina lake
  15. L

    Kompyuta yangu inaandika 'Your computer ran into a problem and needs to restart' naombeni nisaidieni

    Wasalam wakuu, Natumani mu wazima wa afya, hili tatizo linanitesa tokea jana kila nikiwasha computer inakomea hapo, nimeajribu kuwek CD ya window kusudi nishushe lakini bado mwisho wa siku inakomea hapo hapo, msaada unahitakika kutoka kwenu wajuzi wa haya mambo Chief mkwawa Sent using Jamii...
  16. L

    Naomba kujua Software Development Company iliyopo Mwanza

    Salam wakuu, Nilikuwa natafuta shirika la software development linalo patikana Mwanza. Ambapo naweza fanyia field, so kama unamiliki kampuni au unafaham kampuni ambapo naweza fanyia field usisite kunifahamisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. L

    Naomba kujua kuhusu Liquid Protector

    Heri ya krismasaa wakuu, nilikuwa na wazo la kuanzisha hii biashara ya kuwekea wati liquid protector. Sasa wakuu nilikuwa naomba kwa aliye na uzoefu nayo kwanzia gharama ya mtaji nayohitajila kuwa nayo na kama ni mwenyeji wa Mwanza waweza nishauri niiweke wapi kusudi nipate wateja wengi. NB...
  18. L

    Hivi wakuu nawezaje kuprove email ya Manager wa DHL Senegal?

    Hivi wakuu naweza prove aje kuwa managerdhlcompany01@gmail.com ni email ya Manager wa DHL Senegal, maana naona naweza nina mashaka na hiyo email kama kweli ni ya Manager wa DHL. CHIEF MKWAWA
  19. L

    Andorid frameworks

    wakuu naomba tushirikishane android framework unayotumia. Na si vibaya ukatupa na sababu ya kwa nini umeichagua hiyo framework. Mimi binafsi nasubiria majibu yenu kusudi nichague moja nianze nayo. Natanguliza shukrani.
  20. L

    HP inauzwa wahi

    Specification ni kama inavyoonekana pichani, IPO katika hali nzuri kama inavyoonekana hapo pichani. Kuna baadhi ya software ni installed kama Office HDD 300GB Bei 390K
Back
Top Bottom