Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
Habarini wana jukwaa pendwa la Tech ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
Naomba kwa anayefaham site ambayo naweza pata dataset ya Child Abuse ila kama pia ushawahi fanya na una data set yako pia ni ruksa kunisaidia.
Natumaini nitazipata hapa kwa maana hapa kuna kila aina ya vitu vinavyoitajika havijawahi kosekana.