Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 976
- 932
Wakuu nataka kutungeneza API sasa nilikuwa naomba muongozo kwa ujumla ni lugha gani zinatumika, fiaida na hasara ya lugha husika in general kuhusiana kutengeneza API.
unamaanisha application programming interface?Wakuu nataka kutungeneza API sasa nilikuwa naomba muongozo kwa ujumla ni lugha gani zinatumika, fiaida na hasara ya lugha husika in general kuhusiana kutengeneza API
unamaanisha application programming interface?
SOAP au MML
Wakuu nataka kutungeneza API sasa nilikuwa naomba muongozo kwa ujumla ni lugha gani zinatumika, fiaida na hasara ya lugha husika in general kuhusiana kutengeneza API
Lugha yoyote ya programming na inategemea wapi inakotumika, kuna PHP, JAVA, PYTHON ......ETC
Kuhusu faida au hasara sijui nachojia unatakiwa ufuate sheria ya utengenezaji wa API.
MOJA WAPO NI KUTOKUFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE WA PLATFORM
Moja ni kujifunza jinsi ya kutengeneza API kwa maan dunia kwa sasa ndio inatumika kwa sana,Madhumuni ya kutengeneza hiyo API ni nini ?
Kwa lengo lako basi ni vizuri zaidi ukaanza na RESTful APIs, kuna kitabu unaweza download hapo chini kwa lugha uliyoukizia (PHP), ukijisomea kupata basics na kuelewa terminologies nyingi muhimu.Moja ni kujifunza jinsi ya kutengeneza API kwa maan dunia kwa sasa ndio inatumika kwa sana,
Pili ntaitumia kwenye android app ninayo develop
mkuu hebu naomba cha java maana PHP sio rafiki sana kwangu kama java maan zote ni kama zinafanya kitu kimoja nimeonaKwa lengo lako basi ni vizuri zaidi ukaanza na RESTful APIs, kuna kitabu unaweza download hapo chini kwa lugha uliyoukizia (PHP), ukijisomea kupata basics na kuelewa terminologies nyingi muhimu.
Ukishaelewa basics, ni rahisi hata kuanza kutafuta tutorials kwa ajili ya android mobile apps kwa sehemu utakayokuwa umekwama.
mkuu hebu naomba cha java maana PHP sio rafiki sana kwangu kama java maan zote ni kama zinafanya kitu kimoja nimeona
Vitabu ulivyotumiwa ndivyo nilivyosoma hivyo ushindwe wewe tu. Humo kuna kila kitu hauitaji kuuliza chochote kasome hivyo vitabu Kwanzamkuu kwa PHP naomba muongozo either vitabu au tutorial
Java na C++ nazijua angalau kwa asilimia zaidi ya 50%, PHP ndio mbabaishaji maan ni ile nilisoma tuu ya darasani hivyo ndio sababu nimeona niachane na PHP kisha nitumie java.Jifunze kwanza lugha mojawapo. Kuanza kuwaza kutengeneza api na haujui hata lugha moja ni sawa na kujenga kwanza ukuta halafu ndio uqnze kujenga msingi. Ni biashara kichaa
Sawa, lakini sikushauri. Nimetumia Java EE, PHP, Elixir, ASP, ASP.Net na JS. Sikushauri utumie Java.Java na C++ nazijua angalau kwa asilimia zaidi ya 50%, PHP ndio mbabaishaji maan ni ile nilisoma tuu ya darasani hivyo ndio sababu nimeona niachane na PHP kisha nitumie java.
Bora kwa vigezo vipi?Lugha bora kwa API hasa RESt/SOAP ni C# in .Net core na JAVA EE
Wakuu nataka kutungeneza API sasa nilikuwa naomba muongozo kwa ujumla ni lugha gani zinatumika, fiaida na hasara ya lugha husika in general kuhusiana kutengeneza API.