Kompyuta yangu inaandika 'Your computer ran into a problem and needs to restart' naombeni nisaidieni

Life starts at 45

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
974
932
Wasalam wakuu,

Natumani mu wazima wa afya, hili tatizo linanitesa tokea jana kila nikiwasha computer inakomea hapo, nimeajribu kuwek CD ya window kusudi nishushe lakini bado mwisho wa siku inakomea hapo hapo, msaada unahitakika kutoka kwenu wajuzi wa haya mambo Chief mkwawa
IMG_20200513_164651.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom