Naomba kujua kuhusu Liquid Protector

Life starts at 45

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
976
932
Heri ya krismasaa wakuu,

nilikuwa na wazo la kuanzisha hii biashara ya kuwekea wati liquid protector.

Sasa wakuu nilikuwa naomba kwa aliye na uzoefu nayo kwanzia gharama ya mtaji nayohitajila kuwa nayo na kama ni mwenyeji wa Mwanza waweza nishauri niiweke wapi kusudi nipate wateja wengi.

NB: sio ya kuisimamia mwenyewe nataka kuweka watu kwa ajili ya kuisimamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa makongoro pale kariakoo haina solo anagawa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom