Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 976
- 932
Wakuu habari zenu, nimekuwa nikisumbuliwa na kichwa at least once and at most twice a week.
Baada ya kuona hilo tatizo nikaamua kujisogeza hospital kwa ajili ya vipimo.
Baada ya kufika hospitali na kufanyiwa vipimo ikaonekana sina ugonjwa wowote ule.
Ikanibidi niende clinic ya macho na hapo ndipo ikabinika nina tatizo la macho na lenyewe ndio hepelekea kichwa kuuma.
Sasa baada ya vipimo nikashuriwa kutumia miwani.
Sasa hapa kwenye miwani ndipo tatizo hasa lilipo maana baada ya vipimo na kupewa miwani naona nikiivaa naona mabonde kwenye vitu.
Vitu ambavyo vimenyooka nikivaa miwani naona vimepinda( vinakuwa na bonde kwa ndani).
Sasa swali langu, je kuona haya mabonde ni sahihi na kama ndio hivyo hii picha ya mabonde itakoma baada ya muda gani.
Kama sio sahihi jee kuendelea kutumia miwani ni kuzidi kuyaharibu macho yangu?
Mwisho kwa madaktari ni nini ushauri wenu juu yangu?