Search results

  1. Lyamungo

    "serikali sikivu"

    Kwa hili la gesi nimejifunza yafuatayo:- 1. Serikali inapenda kuburuza wananchi wake 2. Serikali inafanya maamuzi sahihi pale tu inaposhinikizwa 3. Wadanganyika wameanza kuamka kwenye "usingizi wa pono" 4. Kuna mikataba mingi tu ambayo wawekezaji wameshinikiza iwe ilivyo huku maslahi ya wazawa...
  2. Lyamungo

    Miaka 51 ya uhuru wa Tanganyika

    Miaka 51 ya uhuru! Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele. Je umewahi kufikiria tumethubutu kufanya nini? Tumeweza nini? Na tunasonga mbele kwenda wapi? 1. Miaka 30 ilopita tulikuwa na viwanda leo ni kama hatuna(tunasonga mbele) 2. Kumshtaki fisadi wa mabilioni na kumhukumu kifungo miaka...
  3. Lyamungo

    Tunaipeleka wapi elimu yetu ya Tanzania??

    Kumekuwa na tabia ya wanasiasa walioko kwenye nafasi zao kama mawaziri kufanya mabadiliko yasioyokuwa na kichwa wala miguu kwenye tasnia muhimu kama elimu bila kuwashirikisha wadau au kujali madhara yake, mfano wa mabadiliko hayo ni:- 1. Kubadili mihula ya A- Level kama homa za vipindi...
  4. Lyamungo

    Waislamu Walioandamana waliomba kibali cha maandamano?

    Jana waislamu waliandamana kudai kuachiwa kwa wenzao walioshikiliwa kwa kukataa kuhesabiwa waachiwe, swali langu ni kuwa waliomba kibali? sensa ilikuwa imeisha?
  5. Lyamungo

    Ni kitu gani ungependa kiwepo kwenye katiba mpya?

    Toa maoni yako kwenye huu uzi kuhusu chochote ambacho ungependa kiwepo au kisiwepo kwenye katiba mpya ili tutakapokutana na Tume tutoe maoni yanayofananafanana.
  6. Lyamungo

    Ina maana madaktari walisema uongo?

    JK katika 'mhadhara' wake kwa 'wazee' amedai kuwa hali ya afya si mbaya nchini na serikali imejitahidi sana kuboresha na mabo ni mazuri, ndo najiuliza Ina maana madaktari walikuwa wanadai uongo? Mbona viongozi wenyewe wakiugua hata kama ni malaria mfano Zito wanakimbizwa nje? Wodini kila mtu...
  7. Lyamungo

    Changa la macho

    :bump2:Kumbe ukiharibu ofisini unaweza ukasingizia umeibiwa kila kitu ili isemekane document zimeibiwa kupoteza ushahidi! mwizi gani ataiba document , hela, nguo na pete aache silaha? changa la maco hilo!:lock1:
  8. Lyamungo

    Hii imekaaje?

    Inakuwaje inapotokea ajali ikaua watu kumi utamsikia JK katuma salamu za rambirambi na kwenda kuwasalimia majeruhi ila madaktari wakigoma wakafa mamia anakaa kimya, basi hata kuwatembelea hao wagonjwa, ni sawa hiyo?
  9. Lyamungo

    Mgomo mkubwa wa walimu Tz

    Kutokana na mazingira magumu ya kazi ya walimu, madai yasiyosikilizwa, walimu wameanza mgomo kimyakimya kwa kile kinachosemekana kuwa wanaogopa kupigwa virungu. Ukifuatilia utendaji kazi wao hauleti matumaini ( hawafanyi kazi kwa moyozaidi ya kuigiza) matokeo ya kidato cha nne ni ushahidi wa...
  10. Lyamungo

    Wanafunzi 45 watimuliwa Umbwe Sekondari

    Wanafunzi 45 wametimuliwa shuleni hapo kwa makosa ya kusababisha vurugu na walipokaguliwa walikutwa na silaha kama visu na bisibisi kwenye masanduku yao
  11. Lyamungo

    Wanafunzi 45 watimuliwa Umbwe Sekondari

    Wanafunzi wapatao 45 wametimuliwa shuleni hapo kwa madai ya kusababisha fujo na kumiliki silaha
  12. Lyamungo

    Malipo ya Dowans

    Hivi Dowans wamelipwa ama ndo hii bili ilopanda tunafidia?
  13. Lyamungo

    Malipo ya Dowans

    Hivi Dowans wamelipwa ama ndo hii bili ilopanda tunafidia?
  14. Lyamungo

    Watanzania ni nani ametuloga?

    sijui naota ma ni kweli, hivi hii nchi inapelekwa wapi jamani? hivi kweli kuna matumaini yoyote ya sasa na baadae? ina maana tumeridhika na haya mateso? uporaji wa rasilimali zetu bila ya woga wizi uliokithiri wa matrilioni unaofanywa na hao wanaojiita viongozi kutokuwajibika kwa viongozi...
  15. Lyamungo

    Wanafunzi 7 watimuliwa Umbwe Sekondari

    Wanafunzi saba wa kidato cha nne shule ya sekondari umbwe wametimuliwa kwa makosa ya uvutaji bangi na wizi uliokithiri. hiyo imeamuliwa leo na bodi ya shule hiyo. imesemekana wamepewa adhabu hiyo baada ya kuonywa sana lakini wakashindwa kujirekebisha
  16. Lyamungo

    Nini kinawapa ccm kiburi?

    Ni miaka 50 sasa tangu tupate uhuru wa bendera ila tulidhani tumeponyoka kwa wakoloni ila tukaingia kwenye makucha ya ccm. Ingawa kwa sasa watu wameamka wanaanza kudai haki zao bado wameng'ang'ania kutukandamiza, kwa jinsi kasi ya kuamka kisiasa ilivyoongezeka, watakiona!
Back
Top Bottom