"serikali sikivu"

"serikali sikivu"

Lyamungo

Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
91
Reaction score
7
Kwa hili la gesi nimejifunza yafuatayo:-
1. Serikali inapenda kuburuza wananchi wake
2. Serikali inafanya maamuzi sahihi pale tu inaposhinikizwa
3. Wadanganyika wameanza kuamka kwenye "usingizi wa pono"
4. Kuna mikataba mingi tu ambayo wawekezaji wameshinikiza iwe ilivyo huku maslahi ya wazawa yakisiginwa
5. Kwa vile hao wafanya maamuz wanaishi dar wanataka kila kitu kifanyike pale ingawa kumeshajaa, akili yao haina uwezo wa kujua kuwa ukiongeza mradi umeongeza watu na magari kwenye huo mchafukoge.
 
Back
Top Bottom