Nini kinawapa ccm kiburi?

Lyamungo

Member
Aug 17, 2011
91
7
Ni miaka 50 sasa tangu tupate uhuru wa bendera ila tulidhani tumeponyoka kwa wakoloni ila tukaingia kwenye makucha ya ccm. Ingawa kwa sasa watu wameamka wanaanza kudai haki zao bado wameng'ang'ania kutukandamiza, kwa jinsi kasi ya kuamka kisiasa ilivyoongezeka, watakiona!
 
Back
Top Bottom