Changa la macho

Lyamungo

Member
Aug 17, 2011
91
7
[h=6]:bump2:Kumbe ukiharibu ofisini unaweza ukasingizia umeibiwa kila kitu ili isemekane document zimeibiwa kupoteza ushahidi! mwizi gani ataiba document , hela, nguo na pete aache silaha? changa la maco hilo!:lock1:[/h]
 
Mbona ka vile ukweli fulani hivi mkuu....
 
Nami naamini....!Ni mpango uliobuniwa ili kuwapoteza maboya wadanganyika!Hivi mtu umepanga hotelini,umekwenda katika kikao,unarudi unaishia sebuleni kuandika MINUTES za kikao,then unalala hapo hapo bila kuingia chumbani kwako!!Mwizi anaiba documents!
 
mambo ya makulumbembe hayo,safi sana
 
uko sahihi bonge la changa nina zaidi ya saa 24 nilikuwa nawaza ule wizi na maelezo ya mh nilikosa majibu
 
hata hivo inakuwaje utembee na doc za ofisi kwani hana secretary? na isitoshe ofisi zinakuwa na computer kwa hivo doc zote za kiofisi lazima ziwe kwenye database ya ofisi
mda wa kudanganya watu umekwisha sasa
awajibishwe.
 
Back
Top Bottom