Watanzania ni nani ametuloga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania ni nani ametuloga?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lyamungo, Aug 21, 2011.

 1. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sijui naota ma ni kweli, hivi hii nchi inapelekwa wapi jamani? hivi kweli kuna matumaini yoyote ya sasa na baadae?
  ina maana tumeridhika na haya mateso?

  • uporaji wa rasilimali zetu bila ya woga
  • wizi uliokithiri wa matrilioni unaofanywa na hao wanaojiita viongozi
  • kutokuwajibika kwa viongozi
  • rais kuhamia nchi za wenzetu kuwapigia magoti
  • ukwepaji wa kodi wa hali ya juu
  • serikali kukoromewa na wafanyabiashara wachache na kunywea
  • unyanyasaji wa raia kwa kutumia vyombo vya dola
  • mgao wa giza usiokuwa na sababu
  hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo nikitumia akili yangu ya darasa la sita ninaona si bure, ingekuwa nchi nyingine
  wangekubali haya? kama hmna ulozi, mbona wanakuwa na kiburi na kujiamini kuwa hali ya juu wakati wanavurunda?

  hii ndo inanifanya niulize hilo swali "who bewitched tanzanians?"
   
 2. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  My fellow Tannzanians pleases lets pray for our beloved country
  we ask our father in heaven to give us true loving leaders
  who are devoted to lead our beautiful blessed country. Some
  of the leaders are money hungry, devil worshippers who can even
  sacrifice there families for money.
  MOST OF THEM ARE GABBEGES THEY
  THINK THE COUNTRY LEAD THE COUNTRY LIKE THERE OWN HOMES THEY SHOULD GROW UP.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Sisi wenyewe...........
   
 4. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tuamshane sisi kwa sisi maana hao wanatufanya misukule isoweza kujitetea, siafu wakikasirika wanaweza wakamuangusha tembo.
   
 5. K

  KANAN Senior Member

  #5
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Umerogwa wewe, kuna wengne haturogeki kabsaaaa..hzo rasiliman zinazoibiwa ni uzembe tu wala co kurogwa
   
Loading...