Search results

  1. jf user

    Nawezaje ku recover corupted odt file?

    Nilikua na type kazi kwenye Ubuntu ghafla file likawa corrupted sahivi halifunguki kabisa. Nimechange kuwa docx lakini wapi sijafua dafu pamoja na kufungulia kwa window OS. Nisaidieni powerful way ya kurecover hi kazi kwani ni muhimu mno.
  2. jf user

    Mangi ndio mabepari wa kwanza wa kijadi.

    Tukisoma historia ya mkoa wa Kilimanjaro tunaona kuna kabila maarufu sana la wachaga ambalo kimsingi lilikua na tawala mbali mbali za kichaga kila chifu na eneo lake. Machifu hao waliitwa mangi. Mangi maarufu ni mangi rindi na mamngi meli wa old moshi, mangi sina wa rombo, mangi horombo wa keni...
  3. jf user

    Kwanini ni rahisi sana kufanya move baada ya first love?

    Ni kitu ambacho nime experience baada ya kuumizwa na first love wanawake wengine waliofuata ilikua easy sana kuwa nao na kufanya move pale ilipohitajika. Why inakua hivi?
  4. jf user

    Naomba kujuzwa nyumba zilizoko chini ya bahari

    Habari wakuu. Nimewahi sikia hizi habari kwamba zipo nyumba na majumba ya kifahari chini ila sijawahi kuyaona. Naomba mnijuze yalipo japo nikayaone. Naomba kujuzwa gharama za ujenzi name niachie mjengo wangu humo. La mwisho inawezekanaje kushusha tofali na cement ndani ya maji halafu nyumba...
  5. jf user

    Shetani alivyotaka kuchukua nyota yangu.

    Wakuu nimeteseka sana, hakika huyu shetani kanitesa. Sikuweza kufanya chochote wala kuendelea na masomo yangu. Kuanzia mwaka January 16, 2016 nilijawa na huzuni, maisha yangu yalikua ya taabu na mateso hali iliyonifanya nihame chuo na kuamia kingine na hali ikawa hiyo hiyo nikaamua kuachana na...
  6. jf user

    Wanaotembea na wake za watu

    Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao. Sasa kama mnajua maumivu ya...
  7. jf user

    Tulizana! tuko wangapi?

    Ni msemo uliopata umaarufu miaka michache iliyopita sijui tena kama unatumiwa ila ni kitu halisi amabacho kinafanyika. Nimpe pongezi aliebuni hilo wazo kwani kwa mtu mwenye kudadisi mambo atakua kafaidika vya kutosha so ata stay safe daima.
  8. jf user

    Kwanini wachezaji wa Tanzania wanawahi kuchoka mapema sana?

    Huwa najiuliza sana na kukwazika pale ninapoona wachezaji vijana wa Tanzania vijana kabisa damu inachemka wanastaafu wakifikisha miaka 30! Sijui tatizo ni nini ila ningetegemea wakipige mpaka 38-40 ndio wastaafu. Tatizo ni nini hasa? Watu kama kaseja, musa hassan mgosi na wengineo walistaafu na...
  9. jf user

    Maisha yetu ni reflection ya akili zetu.

    Maisha yetu ni reflection ya akili zetu, (We Become What Think About) tunachowaza akilini mwetu ndicho kinachojionesha katika maisha yetu ya kawaida. Hakuna yeyote ninayemfahamu aliyepata maendeleo ya maana kwa kupitia ushirikina. Wengi wanaoamini ushirikina wana maisha ya chini na ya...
  10. jf user

    Kufungwa ufahamu.

    Hii dunia ina mengi na ubaya mambo mengi mazito yapo katika ulimwengu usioonekana au ulimwengu wa kiroho. Kuna watu hawasongi mbele kimaendeleo au wanakuwa watumwa wa watu Fulani miaka na miaka na ubaya Zaidi wanaambulia mishaara kidogo sana. Watu hawa huwa wamenasa haswa kwani ukiwaambia...
  11. jf user

    Kuweni makini na nyota zenu ndugu.

    Vijana acheni ubishi uchawi upo....every person on earth has a spiritual identity inayo eleza destiny ya mtu itakuaje mpaka mwisho wake. Soma Mathew 2 : 1 - 5 uta note baada ya Yesu kuzaliwa wale mamajusi (wale ni astrologers na wanajimu kuna baadhi ya bible versions wametambuliwa hvyo)...
  12. jf user

    Dhuluma ni mbaya sana.

    Hakuna kitu kibaya duniani kama kuchukua au kudhulumu haki ya mtu. Kuna watu hawastahili lakini wanatumia nguvu kupata hicho wakitakacho kwa mtu kwa namna yeyote ile isiyo halali. Matokeo huipata hiyo haki ambayo hawastahili huku kumuacha huyo mtu walimdhulumu akiwa katika ukiwa na majonzi...
  13. jf user

    Msaada: Nina hasira za karibu.

    Habari MMU. Mimi ni kijana wa makamo. Kawaida yangu hufanya shughuli zangu zote on time! na niko accurate na kazi zangu. Huwa siwezi kudanganya au kutoa fake promise kwani nafsi yangu hunisuta na kwangu ni dhambi kabisa kwa hiyo kama kitu Fulani sitakifanya au sina uwezo wa kukifanya lazima...
  14. jf user

    Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

    Biblia ni kitabu kinachojumuisha vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na watu mbalimbali katika nyakati tofauti na sehemu tofauti. Biblia ni mkusanyiko wa hivi vitabu ambavyo viliandikwa na waandishi mbalimbali kisha vikapangwa katika mtiririko unaofaa kuanzia miaka ya mwanzo kabisa hadi ya mwisho...
  15. jf user

    Zipi faida na hasara za kuoa wanawake wengi?

    Habari MMU. Naombeni kujuzwa faida na hasara za kuoa wanawake wengi.
  16. jf user

    Utaratibu wa mirathi kwa ndoa za mitala.

    Habari wanasheria. Naomba mnijuze taratibu za ndoa za mitala kuhusu urithi. Kwa wanawake wanne kila mama ana watoto watatu. Nyumba zipo mbili kila wanawake wawili kwa kila nyumba.
  17. jf user

    Familia ndio marafiki wako wa milele.

    Wataalamu wanasema hivyo. Hiyo ni kwa sababu kila rafiki ulie nae au unaeishi nae atakuja kuondoka kwenda kutafuta maisha yake! Marafiki wengine watafuata mwishowe utabaki mwenyewe ila familia ndio marafiki zako wa milele mpaka kifo kwani utakua nao. Ni vyema binadamu tukawa na mawazo ya kesho...
  18. jf user

    Utaratibu wa kuishi na wake wengi.

    Habari MMU. Binafsi husikia watu waliooa wake wawili, watatu, wanne na kuendelea ila sijui nana wanavyoishi. Je kila mwanamke ana nyumba yake? je wanaishi ndani ya nyumba moja? Mengine 1/Hao wake hawaoneani wivu labda Fulani anapendwa Zaidi, au ni mzuri Zaidi? 2/Kugawana mali, gharaa za...
  19. jf user

    Ujerumani na japani.

    Hivi ile mikataba iliyosainiwa baada ya vita ya pili ya dunia haiwezi kuvunjwa? Nasema hivi kwa sababu japani yupo occupied kijeshi na marekani pia ujerumani yupo occupied na allied (Uingereza, ufaransa, marekani) wakiongozwa na marekani ila wao hawakusaini mkataba. Sidhani kama Russian wana...
  20. jf user

    Ukioa au kuolewa uhuru wako unakwisha

    Hii ni kweli pale mwanaume anapooa basi uhuru wake unapotea maana yake anakua kafungwa na mkewe na mke anapoolewa uhuru wake unapotea kwani anakua chini ya mwanaume. Matatizo mengi ya ndoa hutokea pale mume au mke anapovunja miiko yake. Mwanaume yakupasa kutenda jukumu lako na mwanamke pia...
Back
Top Bottom