jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
Hii ni kweli pale mwanaume anapooa basi uhuru wake unapotea maana yake anakua kafungwa na mkewe na mke anapoolewa uhuru wake unapotea kwani anakua chini ya mwanaume. Matatizo mengi ya ndoa hutokea pale mume au mke anapovunja miiko yake.
Mwanaume yakupasa kutenda jukumu lako na mwanamke pia yampasa kutenda jukumu lake! Ukitenda majukumu yako ni nini au nani atakaye kuuliza? Jibu ni hapana.
Mwanaume hana mamlaka juu ya mwili wake bali mke wake na mke hana mamlaka juu ya mwili wake bali mume wake. Kwa hiyo mwili wa mwanaume unamilikiwa na mwanake na mwili wa mwanamke unamilikiwa na mwanaume. Mkiyajua haya mtafurahia maisha wakuu.
Wanandoa ishini kwa kushika amiri za MUNGU kwani huko ndiko kuliko na uzima wako.