Kwanini ni rahisi sana kufanya move baada ya first love?

Kwanini ni rahisi sana kufanya move baada ya first love?

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Ni kitu ambacho nime experience baada ya kuumizwa na first love wanawake wengine waliofuata ilikua easy sana kuwa nao na kufanya move pale ilipohitajika.
Why inakua hivi?
 
Back
Top Bottom