Kuweni makini na nyota zenu ndugu.

Kuweni makini na nyota zenu ndugu.

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Vijana acheni ubishi uchawi upo....every person on earth has a spiritual identity inayo eleza destiny ya mtu itakuaje mpaka mwisho wake.

Soma Mathew 2 : 1 - 5 uta note baada ya Yesu kuzaliwa wale mamajusi (wale ni astrologers na wanajimu kuna baadhi ya bible versions wametambuliwa hvyo) walisha soma nyota na kuona kuna mfalme amezaliwa....wakamtrace na kumfatilia ili wakamsujudie na kumtolea zawadi (sio nyota za angani ni nyota za life destiny)

Sasa wachawi wengi wanaiba spiritual identity ya mtu mwenye kipawa katika either biashara, elimu, uongozi etc. na kuzitumia wao kwa manufaa yao but spiritually.

Soma kitabu cha Mwanzo : 1 pale katika uumbaji wa Mungu uta note Nuru na Giza vilikuwepo hata kabla Mungu hajaumba jua, mwezi na nyota. That means kila kiumbe hapa duniani kuna a spiritual realm/force behind it that makes it function well ( Wachache sana wanajua hili na ujinga wa wengi ndio nguvu ya wachache )

Kuna siri nyingi sana kwenye hii dunia mwana wa adamu hajui. Mi sio mchawi ila naamini Mungu yupo na hizi mambo zipo sanaa tu.

Kaa vizuri na wazee wa mila au kaya piga nao hadithi wengi sana watakuambia " Sio kila tajiri anayefanya sherehe hapa mjini uwe unaenda, unahudhuria unakunywa unakula na kusaza, wengine wana mbinu zao chafu.......... (wanafagia unyayo/mchanga wote ule wanaenda kucheza nao ) ...........na kuiba spiritual identity za watu ki mazingara na kuzitumia kwenye mambo yao "

The world is what it is and you are what you are. What a wild world that drives a man to Sin. Wisen Up Fellas.
 
Kuna mchawi anasema huwa wanaenda kuiba nyota nzuri za watoto wachanga au mimba zilizoko tumboni na kuwauzia wahitaji
 
Kuna mchawi anasema huwa wanaenda kuiba nyota nzuri za watoto wachanga au mimba zilizoko tumboni na kuwauzia wahitaji
So sad ndo mana panapatikana watu sampuli ya amber rutty na anti kesi watu wanaharibiwa wakiwa wadogo.
 
So sad ndo mana panapatikana watu sampuli ya amber rutty na anti kesi watu wanaharibiwa wakiwa wadogo.
Hata vitabu vinasema mtoto yoyote anayezaliwa lazima aguswe na jini, isipokuwa yesu pekee ndo hakuwahi kuguswa na jini, Sasa unaguswa pale Nini maana ya tendo lili "Kuguswa" tuanzie hapo kwanza....
 
Hata vitabu vinasema mtoto yoyote anayezaliwa lazima aguswe na jini, isipokuwa yesu pekee ndo hakuwahi kuguswa na jini, Sasa unaguswa pale Nini maana ya tendo lili "Kuguswa" tuanzie hapo kwanza....
Hapo umeniacha njia panda mkuu
 
Asnte kwa kuendelea kuelimisha, matatizo makubwa hapa duniani, yanakuwa driven from Spiritual world, vikao vingi sana vinakaliwa huko spiritualy vinavyotoa maamuzi mengi sana juu ya Physical world....watu wanakosa jicho la tatu kuona vinavyofichwa.
Ukifaham haya na ukamwamini Mungu vizur, utaishi vzur sana...maana unamjua adui yako sawa sawa....Mungu na azid kutufunulia.....mm naamin wachawi wapo na nimeshapambana nao sana.....imefikia wakat wanabadilisha mbinu lkn na mm nakomaa....na nimewah kuwa nawaona hawa watu tangu udogo wangu...nawaona live wakiwa gizani.....ila sasahv napewa ndoto na Mungu kabla mtu hajafika na kunidhuru....naongea naa Mungu live kupitia ndoto mpka nafurahi.....inaweza kuwa usiku nimelala....nasikia naamshwa na kuambiwa omba sana ....nakuwa na mzigo mzito sana usiku kuomba...baada ya hapo napata amani ya hali ya juu.....Naamin ktk Mungu wa Kweli.
 
Ubarikiwe mkuu.
Mkabidhi MUNGU adui zako a deal now perpendicularly .
Hongera sana kwa kuomba mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom