Zipi faida na hasara za kuoa wanawake wengi?

Zipi faida na hasara za kuoa wanawake wengi?

Kukutahiri mara ya 2 au kukatwa kikojoleo chako.
 
Faida ni kupata papuchi muda wote unaoutaka, yaani huyu akizingua unahamia kwa huyu.

Matatizo:
Ushirikina ndani ya ndoa.
Malezi ya watoto wa ndoa za mitala huwa sio mazuri sana, watoto huwa wanapinda pinda tu.
Kuchapiwa nje nje.
Ndoa kuwa uwanja wa vita.
Jiandae kuwa na watoto wasio na mapenzi na baba yao, wataelemea kwa mama zao kwa kuwa baba na wewe utakuwa umeelemea upande mmoja kati ya wanawake wako.
Umasikini nje nje.
 
Kuishiwa nguvu za kiume saaaana.

Iraq na Afghanistan watu walikua wanatoa siri za makundi ya magaidi kwa Marekani kwa malipo ya viagra. Ili waende wakawaridhishe wake wanne.
 
Back
Top Bottom