Wanaotembea na wake za watu

Wanaotembea na wake za watu

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.

Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?

Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.
 
Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu.
Utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako.
Wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.

Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu?
Mnadhani hao watu hawaumii?
Kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa MUNGU watakua katika mateso gani?

MUNGU ni wa haki, MUNGU ndie kimbilio la wanyonge.
MUNGU hamtupi mnyonge, MUNGU hawatupi waja wake wanaomkimbilia, MUNGU hawatupi wanaokimbilia usalama kwake.
MUNGU wetu ni wa haki.
Mke wa Mtu naetembea nae sasa alikuaga Demu wangu kabla hata huyo mumewe wa sasa hajamjua, na hatukuwahi kugombana. Mizunguko tu ya kimaisha ndio ilitutenganisha na kutuachanisha. So Ki msingi mumewe ndo anatembea na Demu wangu wa Zamani.
 
Wake za watu ndio tatizo kuu!..binafsi imenitokea yan natumia nguvu kumkwepa mke wa mtu kisa tu namuonea huruma mwenye mke huku nikiwaza nitajisikiaje siku nikisikia wakwangu nae kagongwa?

NB;nikijua kuna jamaa anamkula mke wangu sitapoteza mda nae...nitadili na mwanamke,nafikir huo ndio mwisho wa safari yetu mm na yy.
 
Kuna watu waovu sana hii dunia tena hawapaswi kuitwa watu bali ni shetani waliovalia sura za binadamu utawasikia huku wakisema ngoja uowe halafu tutembee na mke wako wakati wao ndio wanaotembea na wake za watu lakini utawasikia watakavyolalamika kuchapiwa wake zao.

Sasa kama mnajua maumivu ya kuchapiwa wake zenu kwanini mtembee na wake za watu mnadhani hao watu hawaumii kama nyinyi na roho zenu za kishetani mnaumia vipi watu wa Mungu watakua katika mateso gani?

Mungu ni wa haki, Mungu ndie kimbilio la wanyonge Mungu hamtupi mnyonge, Mungu hawatupi waja wake wanaomkimbilia, Mungu hawatupi wanaokimbilia usalama kwake Mungu wetu ni wa haki.
sema baba wapone hao mashetani
 
Back
Top Bottom