Nawezaje ku recover corupted odt file?

Nawezaje ku recover corupted odt file?

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Nilikua na type kazi kwenye Ubuntu ghafla file likawa corrupted sahivi halifunguki kabisa.
Nimechange kuwa docx lakini wapi sijafua dafu pamoja na kufungulia kwa window OS.
Nisaidieni powerful way ya kurecover hi kazi kwani ni muhimu mno.
 
Back
Top Bottom