Msaada: Nina hasira za karibu.

jf user

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
777
622
Habari MMU.
Mimi ni kijana wa makamo.
Kawaida yangu hufanya shughuli zangu zote on time! na niko accurate na kazi zangu.
Huwa siwezi kudanganya au kutoa fake promise kwani nafsi yangu hunisuta na kwangu ni dhambi kabisa kwa hiyo kama kitu Fulani sitakifanya au sina uwezo wa kukifanya lazima nimuambie mhusika ukweli kwa hiyo mimi mkweli hata kama ni mchungu kuliko kumdanganya.
Mambo yangu yapo logical yani yapo na mpangilio maalumu tena unaeleweka haswaa.

Tatizo langu ni kwamba mtu akiniahidi kufanya kitu Fulani halafu asifanye huwa na kasirika sana na mara nyingine naonekana na dharau! Labda kuwe na sababu ambayo nitakubaliana nayo ila kama ni sababu nitaiupilia mbali na automatically mhusika nitamuona useless!
Na nikisha mpiga mtu chini ndio imetoka hiyo sitapoteza muda wangu tena kwake.
Na mara nyingi huwa sirudi nyuma kama kitu nishakipiga chini. Simply kwa sababu kichwa changu kipo kama computer.
 
Same kama mimi...uko kama mimi......,tuta ziona kwa wingi sana umu any waymimi mtu mwenye hasira kama nyinyi ua sihangaiki nae akiwa na hasira m nko happy amna shida
 
Diasappointment ni mbaya sana haswa kwa watu walio responsible na waliko systematic kwenye mambo yao kama wewe.

Cha muhimu ni kujua tu kuwa binadamu wana madhaifu na wanatofautiana.

Pia mwombe Mungu akuwezeshe kuwachukulia watu jinsi walivyo.
 
Habari MMU.
Mimi ni kijana wa makamo.
Kawaida yangu hufanya shughuli zangu zote on time! na niko accurate na kazi zangu.
Huwa siwezi kudanganya au kutoa fake promise kwani nafsi yangu hunisuta na kwangu ni dhambi kabisa kwa hiyo kama kitu Fulani sitakifanya au sina uwezo wa kukifanya lazima nimuambie mhusika ukweli kwa hiyo mimi mkweli hata kama ni mchungu kuliko kumdanganya.
Mambo yangu yapo logical yani yapo na mpangilio maalumu tena unaeleweka haswaa.

Tatizo langu ni kwamba mtu akiniahidi kufanya kitu Fulani halafu asifanye huwa na kasirika sana na mara nyingine naonekana na dharau! Labda kuwe na sababu ambayo nitakubaliana nayo ila kama ni sababu nitaiupilia mbali na automatically mhusika nitamuona useless!
Na nikisha mpiga mtu chini ndio imetoka hiyo sitapoteza muda wangu tena kwake.
Na mara nyingi huwa sirudi nyuma kama kitu nishakipiga chini. Simply kwa sababu kichwa changu kipo kama computer.
Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu

Je unakubali kuwa mpumbavu?

Usipo kubali utapona katika hilo
Msikae na hasira yenye uchungu zaidi ya masaa 12,maana utampa nafasi ibilisi

Ushauri wangu mdogo ukifikiria kwa undani na kupitia maandiko hasira haitokaa kwako,ukifikiri ujumbe huu juu juu hautaufanyia kazi,sababu utaona wa kawaida tu.
 
Huyo ananyege hamna lolote..!
 
Habari MMU.
Mimi ni kijana wa makamo.
Kawaida yangu hufanya shughuli zangu zote on time! na niko accurate na kazi zangu.
Huwa siwezi kudanganya au kutoa fake promise kwani nafsi yangu hunisuta na kwangu ni dhambi kabisa kwa hiyo kama kitu Fulani sitakifanya au sina uwezo wa kukifanya lazima nimuambie mhusika ukweli kwa hiyo mimi mkweli hata kama ni mchungu kuliko kumdanganya.
Mambo yangu yapo logical yani yapo na mpangilio maalumu tena unaeleweka haswaa.

Tatizo langu ni kwamba mtu akiniahidi kufanya kitu Fulani halafu asifanye huwa na kasirika sana na mara nyingine naonekana na dharau! Labda kuwe na sababu ambayo nitakubaliana nayo ila kama ni sababu nitaiupilia mbali na automatically mhusika nitamuona useless!
Na nikisha mpiga mtu chini ndio imetoka hiyo sitapoteza muda wangu tena kwake.
Na mara nyingi huwa sirudi nyuma kama kitu nishakipiga chini. Simply kwa sababu kichwa changu kipo kama computer.
Sipendi promise fake kwa kweli,na nikipata hasira ili zipungue lazma nilie hata dk 5 tu,yani kitendo cha kutoa machozi tyr ni relief kwangu uchungu,hasira na jazba vinaisha
 
The only problem of your anger is u expect to much a alittle more of something to be accomplished or your demand / request be met, resulting into big disappointment.. Things often overlap not alone people. So be the otherway around.
 
Tatizo langu ni kwamba mtu akiniahidi kufanya kitu Fulani halafu asifanye huwa na kasirika sana na mara nyingine naonekana na dharau! Labda kuwe na sababu ambayo nitakubaliana nayo ila kama ni sababu nitaiupilia mbali na automatically mhusika nitamuona useless!
Na nikisha mpiga mtu chini ndio imetoka hiyo sitapoteza muda wangu tena kwake.
Na mara nyingi huwa sirudi nyuma kama kitu nishakipiga chini. Simply kwa sababu kichwa changu kipo kama computer.
Wewe ni kabila gani hofu yangu tuu usijekujinyonga bure kwa kukosa wa kumpiga chini
 
Yaani tabia yako haipishani na yangu, ukinipa ahadi hasa ya kuonana (Jinsia ya kike) na usije aisee utajuta.

Hasira nyingine ni kila nikikuta mkusanyiko wa kisiasa huwa natetemeka kwa hasira.

hahahahahahaja i can feel u...hahahahahajaj....TZ Nchi yangu nakupenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom