Search results

  1. Mzee Saliboko

    Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

    Hapa kwa mwanamke uliyenae kwenye uhusiano usio rasmi ila sio kahaba.....
  2. Mzee Saliboko

    Kuna ulazima gani wa kusema tunamshukuru Rais Samia? Kwanini isiwe tunashukuru Serikali yetu?

    Hili na Mimi nilishawaza sana....yaani ...ndio maana sitaki ......
  3. Mzee Saliboko

    Kwa maoni yangu huu ni ubinafsi

    Nazungumzia kumpata mgombea kwenye vyama vyetu vya siasa. Kitendo cha kutuigizia kuwa wanachama wanamkubali mgombea mmoja 100% Ni uongo na unafiki. Tuanze sasa kubadilika na kuruhusu watu wote wenye sifa kuchukua fomu za kugombea urais kila uchaguzi unapofika. Tusiwe wachoyo. Ahsanteni.
  4. Mzee Saliboko

    Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

    Ni vitu gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa na vipi vya kumfanyia? Which is the line of demarcation?
  5. Mzee Saliboko

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Halafu usipoolewa chakula cha kila siku nani atakupa? Au maandalizi ya kuwa kuni kwenye moto Wa milele?
  6. Mzee Saliboko

    Ulishawahi kuona kitu kizuri kinauzwa.., ikawaje?

    Mbona kila muda unawza hicho tu
  7. Mzee Saliboko

    Ulishawahi kuona kitu kizuri kinauzwa.., ikawaje?

    Ulishawahi kupita maeneo au umekaa sehemu ukaona kitu kizuri kinauzwa ukawaza kumnunulia mtu kama zawadi ukaghairi au ukakosa mtu wa kumnunulia. Mie imewahi nikaamua tu kuacha kwakuwa mtu mwenyewe kuja kwangu mpaka abembelezwe.
  8. Mzee Saliboko

    Msaada: Naogopa kazi mpya

    Tamaa mbele mauti nyuma
  9. Mzee Saliboko

    Haya ndio magari chaguo langu

    KRUGER V AU L NDO MPANGO MZIMA
  10. Mzee Saliboko

    Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    Kwani dini kujitenga na siasa wakati Wa Uhuru lilikiwa ni kosa?? Na waislam kuonekana walianzisha vuguvugu LA Uhuru ndo wanahaki sana kuliko wengine???
Back
Top Bottom