Search results

  1. Said Bagaile

    Zitto Kabwe na Ya Mkalimani wa Lugha za Alama wa Msiba wa Mandela

    Wanabodi, Kama kuna matukio makubwa ambayo yametokea juma hili na kupelekea kumshusha binadamu toka kwenye sifa aliyoitegemea mpaka kwenye aibu ya karne basi ni hili suala la ZZK na lile la Mkalimani wa Lugha za alama kwenye msiba wa Madiba. Wote wawili wameshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta...
  2. Said Bagaile

    Supplier wa Samaki toka Mwanza anahitajika

    Ndugu Wanabodi, Kama kuna yeyote miongoni mwenu anayefanya biashara ya samaki aina ya SATO na SANGARA wa jumla kwa ajili ya Wafanyabiashara wa rejareja wenye viosks hapa Dar, tafadhali ani-PM. NB: Nina uwezo wa kuchukua kuanzia Tani moja kwa wiki. Naomba kuwakilisha.
  3. Said Bagaile

    Wazanzibar sasa ruksa kukopa Taasisi za nje kwa kutumia jina la Muungano!

    Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais mambo ya Muungano, Samia Suluhu ameelezea kuwa kwa sasa Zanzibar ni ruksa kukopa nje kwa kutumia jina la Muungano bila kuwa na haja ya kuishirikisha Serikali ya Muungano. MY QUESTION: Je deni hilo halitakuwa linaingia kwenye deni la Taifa ambalo hata...
  4. Said Bagaile

    Hak'ya Mungu nitahamia Lumumba!

    Kama itatoke, JK amelivunja baraza la Mawaziri kutokana na tuhuma za baadhi ya Mawaziri kuiibia nchi, na kisha akamshitaki hata mmoja wapo wa Mawaziri husika(hata kimagumashi tu kama ilivyo kwa akina Mramba na Mahalu), naahidi kwamba nitakwenda kukata kadi za CCM mimi na familia yangu na...
  5. Said Bagaile

    Uchaguzi arumeru live itv

    ITV wanafanya live coverage ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki asubuhi hii. Kipindi kipo hewani
  6. Said Bagaile

    Baraza kubwa la mawaziri ni mbwembwe na fadhila

    Tumekuwa tukishuhudia matumizi mengi yasiyo na lazima yakiwamo ya safari za nje za rais, huku Serikali ikiwa inashindwa kugharamia sekta muhimu ikiwapo kuwalipa mishahara yenye hadhi stahiki Ma-Dr. Kwa kutokuwepo ofisini kwa zaidi ya miezi mitatu, Naibu Waziri wa Miundombinu, Dr. Mwakyembe na...
  7. Said Bagaile

    Kushangiliwa kwa Kafulila kwenye Msiba wa Regia kunaashiria nini?

    Nimekuwapo kwenye viwanja vya Karimjee katika kumuaga Shujaa wetu Mh. Regia Mtema. Ni viongozi wengi walikuwapo, kuanzia wa Serikali pamoja na Waziri Mkuu ni Makamu wa Rais. Pia Mawaziri, Wabunge, Viongozi wa Vyama vya Siasa, Wakuu wa Majeshi ya Polisi, n.k n.k. Kilichonishangaza ni pale...
  8. Said Bagaile

    Mh. Zitto: Tunasukumwa na Uzalendo wako

    Imekuwa ikishuhudiwa misururu ya watu wa kada mbalimbali ikienda kumtembelea Zitto kabwe hospitalini na wengi wetu tukiumia na kumwombea ili apone haraka kutokana na maradhi yanayomsumbua. Na laiti kama kungekuwa na uwezo wa kubadilishana afya, basi mimi binafsi ningeshauri hii afya ya Zitto kwa...
  9. Said Bagaile

    Tetesi: Basi la Shabib lapata ajali lawaka moto, maiti kibao!

    Ni taarifa nilizotumiwa na mtu aliyepo eneo la tukio ni eneo la Mlandizi bus lilikuwa linatokea Dar kwenda Dodoma.
  10. Said Bagaile

    Wapi Nape?

    Alianza kwa Mkwara. Wapimaji wa mambo wakasema ni Mkwara wa Nanasi ambao Nje ni Miba wakati Ndani ni utamu mtupu. Baada ya kelele nyingiiii, baadae amejigundua kumbe amezungukwa na kundi la Wanafiki, akavunjika nguvu. Wapi Operesheni Vua gamba? Wapi Mapacha Watatu aliotuambia wamewapa siku...
  11. Said Bagaile

    Issue ya Takukuru na AG kutupiana mpira Faili la Chenge iliishia wapi?

    Wenye taarifa naomba mtujuze kuhusu lile sakata la kutaka kumpeleka mahakamani Mzee wa Vijisenti, ambapo Hosea alidai kwamba faili lipo mezani kwa AG at the same time AG akadai kwamba faili halijapelekwa kwake na TAKUKURU! Je mnaofuatilia hii movie ipo kwenye Episode ya ngapi?
  12. Said Bagaile

    Simba Coach ni ya Idd?

    Kampuni ya Mabasi iliyokuwa imeahidiwa Tenda ya Usafirishaji abiria Jijini Dar mara baada ya Uda kuuzwa kwa Simon Group ni ya Idd Simba? Naomba mwenye data za kampuni hii atumwagie hapa jamvini. Tanzania bila Matukio, haiwezekani.
  13. Said Bagaile

    Wabunge wa CCM wapigwa Mkwara

    Kuna Tetesi kwamba Wabunge wa CCM wamepigwa Mkwara na Chama chao kutokutaka Ushahidi toka kwa Wabunge wa Upinzani pale wanapowasilisha madai yao dhidi ya Serikali. Kwani kwa kutaka ushahidi kumepelekea Wabunge hao wa Upinzani kuleta Ushahidi ambao umekuwa ukiumbua Serikali na Viongozi wake...
  14. Said Bagaile

    Naibu Speaker afuta kipengele cha Rushwa Mahakamani katika Hotuba ya Upinzani akidai hakina Ushahidi

    Jaji Kiongozi akemea rushwa mahakamaniWednesday, 24 February 2010 08:17 newsroom NA FURAHA OMARY JAJI Kiongozi Fakihi Jundu, amewaasa watumishi wa mahakama, kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa miongoni mwao. Pia, amewataka mahakimu na majaji kuhakikisha wanatoa...
  15. Said Bagaile

    Mrema Atoswa na Wanakamati wake

    Wanajukwaa nimesikia kupitia mapitio ya magazeti kupitia East African Radio kwamba Mh. Lyatonga amemwandikia Spika barua kuwashtaki Wanakamati wake kwamba toka kuanza kwa vikao vinavyoendelea vya Bunge, hajawahi kukutana na Wanakamati wake! Kama hivyo ni kweli, inaonekana Wanakamati hawa...
  16. Said Bagaile

    Zomea zomea yamkumba Sitta kwenye harusi

    Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa. Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa na MC Ephrahim Kibonde (Mtu wa Kujipendekeza sana kwa viongozi wa CCM), akaanza kuwaita Martin...
  17. Said Bagaile

    Tangu lini neno Mbunge wa CCM ni Tusi!

    Imetokea asubuhi hii pale kwenye Supu kwa Bonge, Kinondoni, jamaa wamezichapa kavukavu, kisa eti jamaa kamwambia mwenzie kwamba kwa upeo wake wa akili hana tofauti na Mbunge wa CCM. Jamaa aliyeambiwa hivyo uvumilivu ukamfika kikomo wakaanza kuzichapa kavukavu kabla wasamalia hatujaingilia kati...
Back
Top Bottom