Search results

  1. Kwekitui

    Hivi ni kweli kuna upungufu wa vioo "Black Tinted Glass" hapa Dar es Salaam kwa wauzaji wakubwa?

    Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum, cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani. Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa? Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije...
  2. Kwekitui

    J. Malisa: Maisha ni kupanda na kushuka

    Nimeelewa sana huu ujumbe [emoji3578]```Jana Dr.Mpango alienda bungeni akiwa Waziri wa fedha. Kufumba na kufumbua akawa VP, akaondoka na ving'ora, msafara na ulinzi mkali. Maisha ndivyo yalivyo. Nothing is permenent in life. Kila kitu unachokiona kwenye maisha ni cha kupita tu. Hivyo jifunze...
  3. Kwekitui

    Kisa cha wezi walioiba benki

    Wakati wa Uvamizi wa Benkii nchini fulaniii majambazi waliwaambia kwa sauti watu waliopo Mule benki "Musisogeee hata kidogo maana Pesa ni mali za serikali ila uhai wako ni ni mali yako " Basi kila mtu alilala chini kwa haraka na kila mmoja alikaaa kimya Hii inaitwa " KUMBADILISHA MTU AKILI "...
  4. Kwekitui

    Mfanyakazi wa ndani anahitajika Dar es Salaam Kimara

    Wakuu habari za asubuhi, Ni matumaini yangu mko poa na weekend inaenda kama Allah alivyopanga Namshukuru Allah niko poa. Nirejee kwenye kichwa cha tangazo hili hapo juu. Nahitaji mfanyakazi wa ndani umri kuanzia 18 kuendelea hadi 29 na awe muislamu kwa sababu familia yetu ni ya kiislamu wacha...
  5. Kwekitui

    Ndoa ni uvumilivu

    #Kabila la Hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha "uvumilivu" ndani ya ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahali inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa kama atakuwa na uvumilivu wa shida na raha katika ndoa! Kipimo hicho ni kwamba mwanamke...
  6. Kwekitui

    Tetesi: Nimesikia tetesi kwamba lile fao la kujitoa lililokuwa limezuiliwa, sasa limeruhusiwa

    Wakuu habari za asubuhi? Nimesikia tetesi kwamba lile fao la kujitoa lililokuwa limezuiliwa awali kwamba hadi mwanachama afikishe miaka 55 ndipo anaruhusiwa kwenda kuchukua fao lake Wakuu hapa kuna ukweli wowote? Nina kiasi pale NSSF kimekwama kikisubiria nifike miaka 55 Mola akijaalia na sasa...
  7. Kwekitui

    Foleni barabara ya Morogoro muda huu

    Poleni sana wakati wa Dsm mnaoishi Wilaya ya Ubungo mnaotumia barabara ya Morogoro Tangia mishale ya saa 12 jioni hadi sasa pameshona hapataki hata kuachia
  8. Kwekitui

    Kimara: Basi la mwendo kasi linaungua moto muda huu

    Wakuu habari za muda huu Gari ya mwendokasi inaungua muda huu hapa Kimara mwisho huku chanzo cha moto kikiwa ni hitilafu kwenye engine.
  9. Kwekitui

    Natafuta mwanamke awe muislam na mcha mungu

    Assalamu’alaikum warahmatullahi wabarakatuh Ewe dada ndugu yangu fursa hii Ni wakati murua sasa kwa mimi kijana wa kiume kuingia kwenye ibada ya kukamilisha ½ ya dini yetu ya kiislam. Dada kama wewe ni mcha Mungu tafadhali njoo kwa mcha Mungu mwenzako tuyajenge na hatimaye tuishi kama mke...
  10. Kwekitui

    Hawa wote ni marehemu

    Wakuu habari za asubuhi? Hawa wote ni marehemu je umemuona nani ambaye ulikuwa unamjua?
  11. Kwekitui

    Karibu kwa mahitaji ya nyumba za kupanga na kuuza

    Kwa mahitaji ya chumba,vyumba vya kupangisha kuanzia 35000, 40000, 50000,60000 kwa mwezi maeneo ya ubungo, riverside, kibangu,external, makuburi, garage na mabibo, Ni rahisi sana piga no: 0656 505066 / 0744 222526. Pia kwa wanaohitaji kununua vyumba na Viwanja karibuni sana #Dalali #wa #kitanga
  12. Kwekitui

    NOKIA Airtel building watoa nafasi za kazi

    Wakuu natumai mmeaka vyema Pamoja na family friends majirani kwa ujumla Simkumbuki kwa jina,ila kuna member mmoja ali graduate UDSM pale kwenye electronic and Telecom engineering akawa anatafuta ajira Nikamshauri awe anapitisha cv yake pale ofisi ya NOKIA airtel building 2nd floor So now...
  13. Kwekitui

    Hii BUS TV inayooneshwa kwenye mabasi ya UDART ni chaneli yao?

    Wakuu habari za saa mzito? Nimejitokeza kwenu kuuliza Ndani ya siku 2 hizi zilizopita nimepanda magari ya UDART niaona TV channel imeandikwa BUS TV Maana yake ni kuwa wameanzisha channel au?
  14. Kwekitui

    BUS TV

    Wakuu habari za saa mzito? Nimejitokeza kwenu kuuliza Ndani ya siku 2 hizi zilizopita nimepanda magari ya UDART niaona TV channel imeandikwa BUS TV Maana yake ni kuwa wameanzisha channel au?
  15. Kwekitui

    Wajasiriamali Njooni hapa

    Wakuu natumai mko poa Je wewe ni mjasiriamali na ungependa twende nao sawa? Usisite nafasi ya pekee ya kujiendeleza kiuchumi na mali Karibu whatapp group TUONGEE UWEKEZAJI FORUM Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Kwekitui

    WANAWAWAKE HAWA NI WAJINGA

    WAJUE WANAWAKE 10 WAJINGA. SAMAHANI KWA WALE NITAKAO WAKWAZA KWA POST HII.. (1)..Anaebadili jina mtandaoni na kujiita majina ya watu maarufu...Huyo NIMJINGA. (2)Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo NIMJINGA (3)Anaedate na mume wa mtu miaka nenda rudi na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo...
  17. Kwekitui

    Mapenzi bwana

    kuna mwanamke humu nilimtongoza akanijibu utumbo eti sina hadhi ya kuwa na yeye, nimemfuatilia kama safar mbili bado majibu yake yakawa niyakejeli, nikaamua kumpotezea, siku moja kanikuta dukani kwangu akaanza kuchagua nguo, alivyooniona kwa aibu na kurembua akaniuliza eti kumbe kaka angu...
  18. Kwekitui

    Osama bin Laden ndo Gaidi wa kwanza duniani kuzikwa kwa heshma na jeshi la Marekani

    Osama bin Laden ndo Gaidi wa kwanza duniani kuzikwa kwa heshma na jeshi la Marekani huku akifunikwa Bendera ya taifa ya nchi hiyo. Osama alifutwa Uraia wa Saudia na Kupokonywa pass yake ya kusafiria kwa mujibu wa vyombo vya habari vya magharibi vili ripoti Hakuna chombo cha kiarabu kili ripoti...
  19. Kwekitui

    Maambukizo ya VVU na ugonjwa wa UKIMWI

    VVU huathiri sehemu nyingi za mwili wa mtu. Vinaweza kufanya hivyo kwa njia mbili. Njia ya kwanza ni kwa kushambulia moja kwa moja viungo mbali mbali, njia nyingine ni kwa kudhoofisha mfumo wa kinga na kuruhusu viini au vimelea vinavyosababisha magonjwa mengine kuingia mwilini. Katika sura...
  20. Kwekitui

    SIMULIZI:MAHABA NIUE

    Ni jioni yapata saa kumi na mbili kijana mtanashati,mkarimu,mwenye mvuto wa sura hata mwili kwani amejijenga mwili mithiri ya yule mwanamieleka wa marekani(wwe)john cena,si mwingine ni Abdul ramadhani kijana wa kindamba aliyekua anaishi magomeni pamoja na wazazi wake,alikua anaongea na mpenzi...
Back
Top Bottom