Mapenzi bwana

Mapenzi bwana

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
1,071
Reaction score
1,091
kuna mwanamke humu nilimtongoza akanijibu utumbo eti sina hadhi ya kuwa na yeye, nimemfuatilia kama safar mbili bado majibu yake yakawa niyakejeli, nikaamua kumpotezea, siku moja kanikuta dukani kwangu akaanza kuchagua nguo, alivyooniona kwa aibu na kurembua akaniuliza eti kumbe kaka angu unaduka kubwa namna hii? nikamjibu kawaida tu dada! zikapita kama siku mbili bila kujua namba yangu kapata wapi, akanipigia simu, kaka mambo? nikasema powa, akaijieleza mambo mengi, mara ooh nilikuwa nakutania, mara nilikuwa nakupima kama unanipenda, mara eti nilikuwa nakufikiria sasa nimekupigia nikupe jibu, je nimkubalie labda wanawake ndivyo mlivyo?
 
Hongera kwa riwaya murua
 
Mlitongozana kupitia DM za humu jamiiforums au mlikutana ana kwa ana ndo ukamtongoza akakukatalia??
 
Ulimtongoza humu JF akakufaham kabisa hadi akakuona dukani kwako akakujua wewe ndio Kwekitui aliyekukataa.

Akaondoka bila kuwa na namba yako na bado unashangaa ameipata wapi?
Acha hizo mambo mkubwa.

Oh! Hata hivyo kwa ulivyomalizia, umewalenga wanawake wajibu..kila la kheri.
 
Umesema ulimtongoza humu humu af akafika dukani kwako akakujua we ndo aliyekukataa labda mlitumiana picha mkajuana sio mbaya ila napata ugumu kukuona umeandika hii thread kuomba ushauri kama yuko humu si atajua tulichokushauri sasa mi sikushauri kitu maana asije akajua nilichokushauri
 
mkubalie tu mm sionagi tatizo kama demu akikupendea hela au mafanikio yako.
maisha magumu mkuu
 
Huyo amefuata tamaa inamponza
Kula uroda halafu kama kawaida yetu
PIGA CHINI
 
kuna mwanamke humu nilimtongoza akanijibu utumbo eti sina hadhi ya kuwa na yeye, nimemfuatilia kama safar mbili bado majibu yake yakawa niyakejeli, nikaamua kumpotezea, siku moja kanikuta dukani kwangu akaanza kuchagua nguo, alivyooniona kwa aibu na kurembua akaniuliza eti kumbe kaka angu unaduka kubwa namna hii? nikamjibu kawaida tu dada! zikapita kama siku mbili bila kujua namba yangu kapata wapi, akanipigia simu, kaka mambo? nikasema powa, akaijieleza mambo mengi, mara ooh nilikuwa nakutania, mara nilikuwa nakupima kama unanipenda, mara eti nilikuwa nakufikiria sasa nimekupigia nikupe jibu, je nimkubalie labda wanawake ndivyo mlivyo?
Yaan akupe jibu baada ya kugundua una duka la nguo. Apelekeshe huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom