Search results

  1. sifongo

    FILM4CLIMATE: Naomba kura yako mwana JamiiForums

    Film4Climate Global Video Contest 2016 Habari za majukumu wakuu ndani ya JF, Nimekuwa mdau wa mazingira kwa muda sasa nikitaka dunia yetu iwe Salama, hivyo nimekuwa nikipata nafasi ya kwenda katika shuhuli zangu huwa natafuta nafasi ya kupiga picha nia ikiwa ni kutengeneza program za tv kuhusu...
  2. sifongo

    Kula CCM kura kwa UKAWA

    Hii nimeikuta leo maneo ya UKONGA inasemekana mgombea ubunge kupitia chama cha kijani aligawa jezi kwa vijana ili kuchagua chama chetu cha MAGAMBA, kilichotokea vijana hawakukataa hiyo sadaka ya jezi badala jamaa alipoondoka kazi ikabaki moja vijana kuamua kufumua hiyo nembo ya CHAMA wakidai...
  3. sifongo

    Inawezekana kweli tatizo likawa ni chadema?

    EID MUBARAK WANA JF.......natumaini wote mupo na afya njema nyinyi na familia zenu. Leo katika pitiapitia yangu ya magazeti nikaangukia katika gazeti la Mwananchi, hapo nilikutana na habari ya UKAWA na misukosuko inayopitia, lakini kilichonishangaza labda na wengine pia waliosoma hiyo habari ni...
  4. sifongo

    MSAADA: Blue screen kwenye iMAC

    Habari za majukumu wana JF,Nina tatizo la computer yangu Imac 27" ghafla wakati naiwasha ikashindwa kuwaka ikabaki na white screen na logo ya Apple, nikaizima na kudisconect kill Kitu Kisha nikaunga tena safari hii ikawa nyeupe kwa muda Kisha ikawa blue, nimesoma kwenye mitandao mbalimbali...
  5. sifongo

    Tukubali kupoteza Billion 20 tupate ushahidi

    Habari za majukumu Wana Jf na wazalendo wa kweli,Poleni kwa kupaza sauti kutaka kunusuru jasho letu kwenye kodi lisipotee huko dodoma,Narudia Poleni sana maana Mh.Sitta na kambi yake wamegoma Katu kusikiza na fedha ndio hizo zinapotea. Wazo langu na ushauri,mpk sasa hizi hela ni kama zinaishia...
  6. sifongo

    Obama kitu gani bwana........

  7. sifongo

    Mabomu ya kienyeji ni hatari iliyo mbele yetu

    Habari za Majukumu wakuu. Wiki kama 2 zilizopita nilikuwa Manispaa ya Temeke katika vijiji fulani huko Kigamboni ……Kizitihuonjwa, Buyuni,Pemba Mnazi na Minondo, niliyoyashuhudia huko yamenisukuma na mimi leo niweke bandiko hapa ili wahusika wa usalama wetu na rai wema tusaidiane jinsi ya...
  8. sifongo

    Usiku wa kuvutia

  9. sifongo

    Amani iwe juu yenu

    Habari wana JF, nimekuwa msomaji wa jf kwa muda mrefu ila leo na mimi nimeona nijiunge rasmi niweze japo kuchangia hasa katika maswala ya kisiasa zaidi na niweke wazi kuwa I HATE CCM, na sababu ninazo. yote ya yote naombeni mapokezi yenu wandugu.
  10. sifongo

    Nandipha wa isidingo ndani ya hollywood

    Habari wapenzi wa filamu za ndani na nje ya TANZANIA, nimeangalia DEATH RACE 3 hakika nimefurahi sana hasa baada ya kumuona dada machachari wa isidingo Nandipa akifanya vitu vyake mule, ni mafanikio makubwa mno inapofikia watu kutoka hollywood wanatambua ubora wako na kuamua kukuweka katika...
  11. sifongo

    Mashambulizi kuelekea 2015

    Habari wanajamvi na natumaini mwaka umeanza vyema. Nimekuwa nasoma makala za wanajamvi humu JF kusema kweli nafarijika kuwa wengi tunachukia jinsi Nchi yetu inavyoyumbishwa na walioko madarakani kwa sasa (CCM) hali hii imenifanya najiuliza maswali mengi hasa matumizi ya kodi ninayolimwa huko...
  12. sifongo

    Nimsaidieje x-girlfriend wangu

    Habari wanajamvi, naomba nikiri na kujutia dhambi niliyofanya mimi na mwenzangu (aliyekuwa girlfriend wangu). Miaka kadhaa nyuma nilikuwa na girlfriend nilimpenda naye alinipenda japo nilikuwa najua ananichiti coz sikuwa na hela ya kutosheleza mahitaji yake, kiukweli alikuwa anapenda maisha juu...
  13. sifongo

    Ray C anahitaji msaada

    Habari Wanajamvi, nilikuwa napitia habari kwenye mitandao nikakutana na habari ya kuombewa msaada kwa dada yetu Ray C, Ndugu John Kitime ameandikka na kuweka namba ya tigo pesa kwa wenye nia ya kumsaidia yule dada apate dawa za matibabu ya kuachana na dawa za kulevya namba yenyewe ni 0655999...
  14. sifongo

    Kwa wapenzi wa series za kijasusi

    Hello wanajamvi, wapenzi wa Movie na Series, kama umeshawahi kuona series inaitwa Strike Back tayari SEASON 3 ipo hewani kama hujawahi kuiona kabisa basi itafute inafaa kuangalia hasa ukichukulia tangu 24 hrs iishe hapajawa na series yenye gumzo so nadhani hii kama unapenda kuangalia fujo...
  15. sifongo

    Watanzania wanataka mabadiliko, watanzania wamechoka na rushwa

    Kikao cha CCM kilichokwisha muda si mwingi huko Dodoma kimenikumbusha mambo mazito sana aliyowahi kuyasema Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mwaka 1995 katika moja ya vikao vya chama hicho, na ni moja katika ya HOTUBA ambayo sikumuona mwalimu akicheka wala kuleta mzaha, Mwalimu alikuwa...
  16. sifongo

    Tusimame kidete kuwatetea wamasai

    Habari wanajamvi,wiki chache zilizopita nilikuwa Mkoani Arusha katika wilaya ya Loliondo na huko nilitembelea vijiji kadhaa na nilipata bahati ya kuongea na baadhi ya wazee wa kimasai kuhusu mgogoro wao na Kampuni ya Kiwindaji (OBC) kutoka Oman inayomilikiwa na familia ya kifalme, wengi wenu...
  17. sifongo

    Natangaza nia yangu juu ya kutengeneza filamu ya kipelelezi, ila naomba msaada wa yafuatayo...

    Habari wanajamvi na wapenzi wa filamu, nina nia ya kutengeneza filamu ya kipelelezi ila kuna vitu nahitaji kuvijua hasa vitengo vya usalama ndani Serikali, mfano ninajua kwamba kuna kitengo kinahusika na ufuatiliaji wa pesa haramu nadhani kipo BOT au WIZARA YA FEDHA kwa anayefahamu anisaidie na...
  18. sifongo

    Natafuta kazi wandugu......

    Heloo wanajamvi, natafuta kazi za video editing na motion graphics designing, natumia 3ds max na After effect, nadisign logo na kufanya graphics za uhakika. twaweza kuwasiliana kwa email: pchilumba94@hotmail.com
  19. sifongo

    Natamani kusikia kauli ya jussa khs vurugu za zanzibar

    Habari za majukumu wana JF naomba niseme kwamba ni mara yangu ya kwanza kupost topic humu barazani ila nimekuwa nikisoma sana post za wenzangu na kuelimika pamoja na kujua mengi juu ya hatma ya Nchi yetu mikononi mwa ccm na makuwadi wa siasa pamoja na baadhi ya wanasiasa uchwara kama...
  20. sifongo

    Kwa washabiki wa Kiefer Sutherland (Jackie Boure)

    Nimeona wengi munamkubali sana jamaa ktk series ya 24hrs ambayo nadhani inatoka tena mwakani, lkn wakati mukiisubiri 24 tafuteni kitu hiki kingine cha jamaa nayo ni series inaitwa confession na jack ndie confessor mwenyewe, jamaa ni mkali wa action.Itafuteni mujionee wandugu.
Back
Top Bottom