Kwa wapenzi wa series za kijasusi

sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,896
5,302
Hello wanajamvi, wapenzi wa Movie na Series, kama umeshawahi kuona series inaitwa Strike Back tayari SEASON 3 ipo hewani kama hujawahi kuiona kabisa basi itafute inafaa kuangalia hasa ukichukulia tangu 24 hrs iishe hapajawa na series yenye gumzo so nadhani hii kama unapenda kuangalia fujo, bunduki na kila aina mapigano basi itakufaa ila usitazame na watoto coz kuna mtu anapenda ngono humo ndani ni hatari.
Kwa ufupi ni kwamba ndani ya jeshi la Uingereza kuna kikosi kinaita SECTION 20 kinafanya kazi za upepelezi hasa magaidi na this time wameanzia Nchi jirani kabisa Kenya na Somalia na katika hii Season 3 wameweka base yao South Africa japo wanahama hama kulingana na lilipo tukio......kazi kwenu.
 
season 2 nayo imeshatoka jikoni, inaingia series ya 4 kama sikosei; premier yake iko free online - google
 
Hello wanajamvi, wapenzi wa Movie na Series, kama umeshawahi kuona series inaitwa Strike Back tayari SEASON 3 ipo hewani kama hujawahi kuiona kabisa basi itafute inafaa kuangalia hasa ukichukulia tangu 24 hrs iishe hapajawa na series yenye gumzo so nadhani hii kama unapenda kuangalia fujo, bunduki na kila aina mapigano basi itakufaa ila usitazame na watoto coz kuna mtu anapenda ngono humo ndani ni hatari.
Kwa ufupi ni kwamba ndani ya jeshi la Uingereza kuna kikosi kinaita SECTION 20 kinafanya kazi za upepelezi hasa magaidi na this time wameanzia Nchi jirani kabisa Kenya na Somalia na katika hii Season 3 wameweka base yao South Africa japo wanahama hama kulingana na lilipo tukio......kazi kwenu.

have you watched NIKITA? na yenyewe ni full actions !!
 
pia kwa wapenzi wa series ya vasco dagama season two imetoka ambapo safari hii waziri mkuu wa canada ndo zamu yake kuja hapa kwetu.
 
Umeniokota, yaani strike back ndio unaifananisha na 24hrs ?!!!!
wala haifikii NIKITA!!

PICHA MBAYAAAAA kama nini!!!!

Hello wanajamvi, wapenzi wa Movie na Series, kama umeshawahi kuona series inaitwa Strike Back tayari SEASON 3 ipo hewani kama hujawahi kuiona kabisa basi itafute inafaa kuangalia hasa ukichukulia tangu 24 hrs iishe hapajawa na series yenye gumzo so nadhani hii kama unapenda kuangalia fujo, bunduki na kila aina mapigano basi itakufaa ila usitazame na watoto coz kuna mtu anapenda ngono humo ndani ni hatari.
Kwa ufupi ni kwamba ndani ya jeshi la Uingereza kuna kikosi kinaita SECTION 20 kinafanya kazi za upepelezi hasa magaidi na this time wameanzia Nchi jirani kabisa Kenya na Somalia na katika hii Season 3 wameweka base yao South Africa japo wanahama hama kulingana na lilipo tukio......kazi kwenu.
 
Umeniokota, yaani strike back ndio unaifananisha na 24hrs ?!!!!
wala haifikii NIKITA!!

PICHA MBAYAAAAA kama nini!!!!

Mkuu sijasema inaifikia 24 nimesema kama unapenda series zenye fujo na mapigano, naiheshimu 24hrs kiukweli mimi nikita sikuipenda coz niliona mbaya mpaka leo nashindwa kuimalizia japo ninayo yote.
 
nimeshatupa kwenye dustbin cd ya strikeback
 
sifongo nimeshusha strikeback season 1 ni nzuri. Hivi umeshaangalia the pacific? ni nzuri?
 
Last edited by a moderator:
Kwa wapenzi wa Series hizi pia niza-ukweli, Vampire Diary(1 - 3), Spartacus (1 - 3), Merlin(1 - 4) na Human Target pia inajitahidi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom