sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,895
- 5,308
Habari za majukumu wana JF,Nina tatizo la computer yangu Imac 27" ghafla wakati naiwasha ikashindwa kuwaka ikabaki na white screen na logo ya Apple, nikaizima na kudisconect kill Kitu Kisha nikaunga tena safari hii ikawa nyeupe kwa muda Kisha ikawa blue,
nimesoma kwenye mitandao mbalimbali nimeona Hili tatizo na maushauri yametolewa huko Lkn mimi sijapata solution, hivyo kwa mwanajamvi yeyeto mwenye uelewa wa hii Kitu tafadhali msaada wa haraka,
Nina kazi za wateja nisipowakilisha kwa wakati watanitoa roho.......0713 758560 au hata kupitia humu humu jamvini nitashukuru pia.
Asanten.