Search results

  1. charrote

    Hii tabia ya shemeji yenu inanikera, nakaribia kubwaga manyanga!

    Jamani jamani huku ni kupatikana Au vepe Yeye ni hensamu ana check number halafu yn nilimpenda ghafla tu eti Shida sasa ukiomba mtoko mara oooh leo siko vizur kwenye wallet na bla blah kibao Sasa Mungu akisaidia mkitoka yan wahudumu wakija hawezi tu kuagiza mpka aulize hii sh. ngapi hii...
  2. charrote

    Hii tabia ya shemeji yenu inanikera, nakaribia kubwaga manyanga!

    Jamani jamani huku ni kupatikana Au vepe Yeye ni hensamu ana check number halafu yaani nilimpenda ghafla tu eti. Shida sasa ukiomba mtoko mara oooh leo siko vizuri kwenye wallet na bla blah kibao Sasa Mungu akisaidia mkitoka yaani wahudumu wakija hawezi tu kuagiza mpka aulize hii sh. ngapi...
  3. charrote

    Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

    Hello, Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa. Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee Badilikeni
  4. charrote

    Samaki wabichi wa Mwanza

    Hello, Naomba kuuliza kama naweza pata samaki wabichi wa mwanza katika soko la Buguruni ambao hawajakaa muda mrefu. Nawasilisha.
  5. charrote

    Binti anatafuta Kazi ya uuguzi.

    Wasalaam, Ni ndugu yangu wa kike, anaishi dar es salaam. Anatafuta kazi ya uuguzi na ukunga ngazi ya cheti. Nimemsaidia kuleta ombi lake huku tuone tunamsaidiaje Karibu Pm kwa mawasiliano.
  6. charrote

    Zawadi kubwa maishani ni hii

    Wapendwa mu wazima Hivi karibuni kuna wimbi la watu ambao wana undugu sana na malaika limeibuka. Wao kucha kutwa ni kuwasimanga wanawake waliozaa bila kuolewa (singo mazas) na kuwaona hawastahili katika jamii . Kwa kawaida binaadamu tuna tabia ya kujifunza kulingana na mazingira na nina...
  7. charrote

    Msaada wa haraka unahitajika :sheria inasemaje juu ya jambo hili?

    Habari za muda huu. Nahitaji kujua sheria inasemaje juu ya suala lifuatalo. Kaka yangu alitengana na mwenza wake miaka miwili iliyopita. Akalazimika kuwachukua watoto watatu aliozaa nae na kuishi nao. Miezi saba baadaye mwanamke akaenda kumshtaki mume kuwa amemtelekeza na ana ujauzito...
  8. charrote

    Hili ni tatizo gani? Nikimaliza kuoga nawashwa sana

    Habari za alasiri, Kama nilivyoeleza hapo juu ,nimekuwa nikwashwa kila ninapomaliza kuoga. Muwasho huu huchukua takribani nusu saa ndipo nakuwa kawaida. Mwanzoni nilifikiri ni sabuni ninayotumia nikabadili na nimeshabadili sabuni za aina nne tofauti lakini bado nawashwa. Nikijikuna hakuna...
  9. charrote

    Uhamisho wa kijana kutoka shule za kutwa (Kata) kwenda shule maalumu.

    Wakuu habari za muda huu. Nina kijana mtoto wa ndugu yangu yuko kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Serikali (Kata), nahitaji kumuhamisha kwenda shule za vipaji maalumu za Serikali mfano ilboru, tabora boys, kibaha boys nk. Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu utaratibu anisaidie...
  10. charrote

    Uhamisho wa kijana kutoka shule za kutwa(Kata) kwenda shule ya kipaji maalumu

    Wakuu habari za muda huu. Nina kijana mtoto wa ndugu yangu yuko kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Serikali (Kata), nahitaji kumuhamisha kwenda shule za vipaji maalumu za Serikali mfano Ilboru, Tabora boys, Kibaha boys nk. Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu utaratibu anisaidie...
  11. charrote

    Uhamisho wa kijana kutoka shule za kutwa (Kata) kwenda shule maalumu.

    Wakuu habari za muda huu. Nina kijana mtoto wa ndugu yangu yuko kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Serikali (Kata), nahitaji kumuhamisha kwenda shule za vipaji maalumu za Serikali mfano ilboru, tabora boys, kibaha boys nk. Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu utaratibu anisaidie...
  12. charrote

    Ndugu yangu wa kike anatafuta kazi, yupo Kahama mjini

    Habari Ndugu yangu huyu ana elimu ya kidato cha nne, anatafuta kazi aweze kujikimu mjini. Ana uzoefu katika hotel, sheli. Ni mchapakazi Kama kuna mtu anahitaji kumsaidia karibu PM nikuunganishe nae. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. charrote

    Kwa jambo hili serikali ya awamu hii imeonesha uzembe mkubwa

    Habari wakuu, Leo mapema mmoja wa rafiki zangu "waliobahatika" kupata ajira za afya serikalini takribani miez mitano iliyopita kanipigia simu.Nilikua bize kidogo nikataka kuipotezea hivi lakini nikasita nilipokumbuka juzi pia nilikuta missed call yake na sikumtafuta,nikapokea.Kama kawaida...
  14. charrote

    Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

    Mamboz? Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa...
  15. charrote

    Nijuzeni zao la biashara linalotoka kwa sasa

    Salaam wakuu, Naomba kujuzwa zao LA biashara linalojiuza sokoni bila kumpa stress mkulima,itapendeza zaid likiwa linastahimil ukame na la muda mfupi.Kama kuna mchanganuo pia kuhusu mbegu,mbolea,madawa na ulimaji wake na maeneo linapostaw hilo zao naomba nifahamishwe. NB. Ushauri kuhusu...
  16. charrote

    Utaratibu wa kulaza mabasi ya abiria Nzega uangaliwe upya

    Salaam wakuu, Kwa masikitiko makubwa naomba nizungumzie huu utaratibu wa kulaza mabasi ya abiria nzega,sijajua shida ni nini wakati unatoka mikoa mingine kuja dar es salaam basi linafika siku hiyo hiyo lakini ajabu ukiwa unatoka dar kwenda mikoa hasa ya kanda ya ziwa basi linalala nzega na safar...
  17. charrote

    Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

    Wazima ? Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni. Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata...
  18. charrote

    Nilidhani story, kumbe haya mambo yapo kabisa

    Za uzima,, Sikukuu kwa upande wangu haikua nzuri kabisa, mpaka sasa sielewi kama nilisherehekea pasaka au sikukuu ya wajing. Ni hivi nimesex na ndugu yangu kabisa bila mimi wala yeye kujua. Huyu jamaa nilikua namzimia tangu zamani sasa pasaka ya juzi ikawa imetukutanisha akaomba "out"...
  19. charrote

    Nashindwa Kabisa kumuacha huyu mwanaume

    Mu wazima humu,, Huyu bwana ni x wangu. Ni mwaka n'a nusu sasa tangu tuachane na mimi kuondoka, Nina wiki mbili toka nirejee hapa mahala na nimekutana nae mara mbili. Jaman anavyoniangalia n'a lile tabasamu dah anaikumbusha mbali sana. Sitaki kurudiana nae tena lakin nahis haitawezekan...
  20. charrote

    Hii kazi kiboko....

    Habari za mchana . Almost imepita wiki tangu nilipoleta uzi wangu wenye kichwa cha habari "nahitaji kupumzika ". Nilielezea ni jinsi gani nilikorofishana na mwanaume wangu mpaka ikafikia hatua ya mimi kuacha kazi nikiwa na mpango wa kurudi nyumbani. Matarajio yangu...
Back
Top Bottom