Nashindwa Kabisa kumuacha huyu mwanaume

Nashindwa Kabisa kumuacha huyu mwanaume

charrote

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
1,988
Reaction score
4,413
Mu wazima humu,,

Huyu bwana ni x wangu. Ni mwaka n'a nusu sasa tangu tuachane na mimi kuondoka, Nina wiki mbili toka nirejee hapa mahala na nimekutana nae mara mbili. Jaman anavyoniangalia n'a lile tabasamu dah anaikumbusha mbali sana.

Sitaki kurudiana nae tena lakin nahis haitawezekan, sielew ana kitu gani spesho au ni yale mapenzi y'a vichakani n'a majarubani ndo yananifanya nishindwe kumuacha,, Gosh !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom