Uhamisho wa kijana kutoka shule za kutwa(Kata) kwenda shule ya kipaji maalumu

charrote

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
1,663
3,632
Wakuu habari za muda huu.

Nina kijana mtoto wa ndugu yangu yuko kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Serikali (Kata), nahitaji kumuhamisha kwenda shule za vipaji maalumu za Serikali mfano Ilboru, Tabora boys, Kibaha boys nk.

Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu utaratibu anisaidie. Kijana alikuwa na ufaulu wa daraja A.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom