Samaki wabichi wa Mwanza

Samaki wabichi wa Mwanza

Unahitaji kama wa sh ngapi?
Kama unaitaji Samaki wengi tuwasiliane mimi nakutumia Samaki fresh kutoka Mwanza, Samaki wanatoka ziwani saa 6 mchana jioni nawatuma Airport wanakuja na ndege ya saa mbili.
 
Kuwapata Ila Siwezi Kukuhakikishia Hapo Kwenye Swala La Kukaa Muda Mrefu
 
Back
Top Bottom