Hii kazi kiboko....

Hii kazi kiboko....

charrote

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
1,988
Reaction score
4,413
Habari za mchana .

Almost imepita wiki tangu nilipoleta uzi wangu wenye kichwa cha habari "nahitaji kupumzika ". Nilielezea ni jinsi gani nilikorofishana na mwanaume wangu mpaka ikafikia hatua ya mimi kuacha kazi nikiwa na mpango wa kurudi nyumbani.

Matarajio yangu yakawa sivyo Kwani jamaa aliniwahi na kuniibia pesa yote kisha kutimua. Nikawa sina namna ingawaje kuna mpango wa kazi nilikuwa nausubiri sehemu ila mpaka sasa bado unasua.
Baada ya kukaa kwa siku kadhaa bila mpango wowote ilhali hata kile kidogo nilichobakiwa nacho kinazidi kupungua ,ndipo sasa juzi nikaamua kwenda kutafuta kibarua maeneo ya jogoo huko mbezi(chemicotex).. E bwana ee si mchezo nilipiga kazi mpaka nakuja kutoka sitamani hata kutembea,, mwili wote unauma kama sio wangu.. Jana nimepiga moyo konde nimeenda natumaini Mungu atanisaidia na soon nitapata ajira kulingana na proffessional yangu..
..Tangu jana yule muhuni ananipigia simu lakini nikifikiria jinsi ninavyoteseka kwa sababu yake,,sipokei...... Let it go!
 
Kichwa cha habar kiwe jamaa yako kakuibia maana hiyo kazi kiboko sijaiona kwenye habar yako
 
Pole sana dada ndo maisha ya ndoa hayo be tolerance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha habar kiwe jamaa yako kakuibia maana hiyo kazi kiboko sijaiona kwenye habar yako
Ulitaka nizungumzie mpaka mazingira ya kazi na kwamba ninafanya kazi gani au
 
Inaonekana wewe ni mwanamke mpambanaji sana jamaa lazima tuu akutafte na jinsi mchezo unavyoenda utamkubalia tuu, tunasubiri mrejesho mwengine hapa.
 
Atakulia timing pale umeshaumizwa utasema afadhali zimwi likujualo, pole sana.
 
Pole sana dada, usife moyo Mungu atakusaidia kwa kila hatua unayo piga na malipo ni hapahapa
 
Hayo mapenzi hayajafa bado, yanaishi moyoni mwako.
It's only the matter of time.
 
Back
Top Bottom