charrote
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,988
- 4,413
Wazima ?
Ninashida jamani, nina mwanaume anataka kunioa lakini maumbile yake ya kiume ni madogo sana. Kwangu mimi haina tatizo kwasababu nimempenda kutoka moyoni.
Ila sasa nimekuwa nikiwaza kuwa endapo nitazaa nae watoto wa kiume lazima mambo ya "genetics" yatakuepo hivyo nina hatari ya kupata watoto wa kiume wenye maumbile madogo.
Napata mawazo sana nikifikiria hili sitaki hiyo kitu kwa watoto wangu, nifanyeje?