Search results

  1. HERUFI KUBWA

    Kwanini wanaume mmepunguza kuhonga?

    Jamani wana jf. Nawapenda tena nawapenda sana. Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile, eti herufi kubwa wewe jinsia gani, niseme tu haiwauhusu! Sasa naomba nianze na mada yangu jioni ya leo, hivi kwanini wanaume wa leo mmepunguza kuhonga jamani? Miaka ile...
  2. HERUFI KUBWA

    Wanawake tunapenda wanaume wenye hela na gari

    Hello guys. Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7] Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke usipewe[emoji1][emoji1], kama ni gari basi sawa hilo, nyumba kali yaani ni nzuri kabisa mwanaume akupangie...
  3. HERUFI KUBWA

    Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu

    Habari. Nitakuja kueleza mkasa wangu ilikuaje mpaka nikaamua kuwa mdangaji na kujiuza hii ni stori ya kweli kabisa. Kwa majina naitwa Chaupele, ni binti pekee katika familia ya watoto watatu na ndiye mtoto wa kwanza kwetu. Nimekulia katika mazingira ya kijijini mkoa wa Nyanda za juu Kusini...
  4. HERUFI KUBWA

    Njoo uniambie Kero za daladala Unazokutana nazo

    Daladala jamani ni usafiri mzuri ila unakadhia Yake kiasi kwamba siku ukipata Hela utatamanj ununue gari. Maudhi mara tu nipandapo daladala hadi kwa sasa muda mwingi nimeamua nitumie bolt au indrive. 1.Kupanda na waha au wagogo wakaanza kusikiliza redio kwa kuweka sauti ya juu jamani na...
  5. HERUFI KUBWA

    Njoeni Muone Vioja

    Jf kila mtu Tajiri Hakuna Nyuzi ya Mtu Maskini. Jf kila mwanaume lazima Anakula Kimasihara Halfu anatumia laki 2 sasa sijui wanaume wajf tofauti na Tunaokutana nao mtaani kutoa Elfu 10 shida. Jf kila mtu anaishi kwa nyumba kali na Ana gari kali Range,V8 Hatari tupu jamani eh humu ndani. Jf...
  6. HERUFI KUBWA

    Mapovu baada ya kuwaambia Watafute Hela Wanaume

    Jamani Wana jf Wazima nyie. Tukiwa tunaendelea kupambana na haka kahoma ketu ka mapafu. Sasa Tuje kwa mada. Et Wanaume naona mmejaa Mapovu baada ya kuwaambia mkatafute hela. Kiukweli nimeamini Dunia hii Wanaume wamsbaki wachache sana. Hata ukisoma kwa biblia ushawishi mkubwa kwa mwanaume juu...
  7. HERUFI KUBWA

    Unajivunia nini kwenye Ulimwengu wa Mapenzi

    Aisee.. Kiukweli katika Maisha Yangu Hakuna kitu nachojivunia kama kuwa na Upendo wa Dhati sana Japo Umeniumiza sana Maishani Mwangu. Kingine najivunia sana kuwa mtu ambaye ninapendwa sana na Wanaume. Niambie kitu gani unajivunia katika Maisha ya Mapenzi. Halfu kuna watu wanasema ooh hii Id...
  8. HERUFI KUBWA

    Mwanaume Tafuta Hela Sisi Wanawake Tunataka Hela na Kuhudumiwa

    Dear Ladies.. Mwanaume Asiye na Hela sio wa kuvumiliwa hata kidogo. Ujasiri Huo mnaupata wapi!? Mtu unahitaji kadress kako kakendu kakali mara make up dress table ijae nywele zetu zile za elfu 6O bado Mafuta hapo. Bado Vocha na Ya kutolea Je. Wanaume Tunawapenda ila Tafuteni hela jamani...
  9. HERUFI KUBWA

    Wanaume mkituchukulia poa tutatoka na rafiki zenu

    Jamani. Nyie Wanaume Tunawapenda sana lakini kwanini Hamtupi attention. Siku Utakaponichukulia basi nitaenda kwa rafiki yako hamna namna. Mapenzi yanauma jamani. Leo nimemigia simu kiumbe cha mtu mara 20 respond. Sms ndo kama 5O vile. USIKU MWEMA JAMANI
  10. HERUFI KUBWA

    Wote mnaotumia Facebook mna moyo wa ajabu sana

    Wapendwa wangu mmeamkaje. Twende hii kwa kipindi kirefu nimekuwa si mtumiaji sana wa hii mitandao ya kijamii sasa niliporudi kwa nguvu zote nikasema nianze na Jf hasa jukwaa langu pendwa hili la MMU. Aisee wiki hii yote Jamani nikaona bora nipitie pitie Facebook(FB) sasa nimekuwa nikishangaa...
  11. HERUFI KUBWA

    Mwanaume uliza swali lolote hapa, sisi wanawake wa MMU tukujibu

    Habari zenu za Mei Mosi na Tunaendelea kupambana na kuchukua Tahadhari Juu ya Corona. Kwa niaba ya wanawake wote wa JF hasa huku MMU tunaomba mtuulize swali lolote kwenye huu uzi na tutawajibu Mwanaume ULIZA SWALI LOLOTE SISI WANAWAKE TUKUJIBU
  12. HERUFI KUBWA

    Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

    Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU Nimeshindwa hata...
  13. HERUFI KUBWA

    Si kila mwanamke Aliye JF ni Malaya

    Jamani Leo ni weekend Na hili jukwaa Wana MMU kila mmoja Ana haki ya kueleza yaliyo moyoni mwake sasa si kila tunaloleta shida zetu hasa sisi wanawake mkahisi tunashida ya kutongozwa sana au Malaya
  14. HERUFI KUBWA

    Nyie wanaume mnachotufanyia sisi tuwapendao...

    Wakuu. Yaani nyie wanaume mimi naona bora naendelee kuishi Maisha niliyochagua Nawaona mmeamua kuwa pasua vichwa sio msomi, asiye na elimu hadi wa kanisani nao vile vile tu Yaani Mtu anasema anakupenda Ila no call. text na online unamuona yupo? Nimeamua sitalazimishwa kupendwa na...
  15. HERUFI KUBWA

    Aibu iliyokupata baada ya Corona kuingia

    Mambo zenu Wana MMU Aisee hii korona ina viroja vyake Leo asubuhi nikasame niache huu upagani niende kanisani nikiwa na hungover zangu nikachagua kigauni changu kizuri nikipendacho sasa nimefika kanisani Saa 3:30 asubuhi nimejisikia kuumbuka kumbe utaratibu wa misa umebasilika yaani nimefika...
  16. HERUFI KUBWA

    Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

    Jaman Hivi inakuaje mdada unakuwa na mwanamme mmoja tu.. Utakuwa unaumia kila siku kama wameamua kutupanga tu basi wacha tuwapange Tukitaka kuolewa tutatulia baadae
  17. HERUFI KUBWA

    Kilichonikuta usiku huu jamani

    Habari za usiku Hivi kuna mtu anayefaham sleeping paralysis mara nyingi utokea ukiwa umelala sana kuna hali inakuja ya kutaka kuongea na kushindwa katika usingizi Hivi hii hali na inaweza kutibika jamano
  18. HERUFI KUBWA

    Moyo wangu unaumizwa zaidi kwa haya pindi ninapohitaji kuweka mawasiliano kwa ukaribu

    Hellow wakuu... Kuna tabia kama tano zimekuwa zikinikera sana pindi ninapojaribu kutaka kufanya communication na watu kupitia mitandao yangu ya kijamii kama facebook,instagram,jf,twitter Jambo la kwanza inauma na inakera unajalibu kumtext au kumpigia mtu wa karibu au rafiki tu kwa simu hapokei...
  19. HERUFI KUBWA

    Kwanini Twitter inatumiwa sana na viongozi wakubwa?

    Habari... Nimeona viongozi wengi mashuhuri duniani na ndani ya nchi yetu ni wapenzu wakubwa wa twitter.. Swali langu.. 1.kuna uhusiano gani kati ya twitter na viongozi wakubwa na macelebreties ukitofautisha na mitandao mingine
  20. HERUFI KUBWA

    Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

    Bwana Yesu apewe sifa.... Ule msemo usemao kelele nyingi zina mshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzania Kama(upendo wa kweli na siku moja) Ambwene Mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa.. Kiukweli Ambwene amechukua chombo kizuri sana kama...
Back
Top Bottom