Wanaume mkituchukulia poa tutatoka na rafiki zenu

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
388
602
Jamani.

Nyie Wanaume Tunawapenda sana lakini kwanini Hamtupi attention.

Siku Utakaponichukulia basi nitaenda kwa rafiki yako hamna namna.

Mapenzi yanauma jamani.

Leo nimemigia simu kiumbe cha mtu mara 20 respond.

Sms ndo kama 5O vile.

USIKU MWEMA JAMANI
 
Labda tayari ulikuwa na hisia na huyo rafiki kitambo, kwa sasa inatafutwa sababu.
 
Jamani.

Nyie Wanaume Tunawapenda sana lakini kwanini Hamtupi attention.

Siku Utakaponichukulia basi nitaenda kwa rafiki yako hamna namna.

Mapenzi yanauma jamani.

Leo nimemigia simu kiumbe cha mtu mara 20 respond.

Sms ndo kama 5O vile.

USIKU MWEMA JAMANI
Umeongea kwa HERUFI KUBWA
Lakini si ndo nyinyi mnakja na ID fake tunasumbuana
 
Jamani.

Nyie Wanaume Tunawapenda sana lakini kwanini Hamtupi attention.

Siku Utakaponichukulia basi nitaenda kwa rafiki yako hamna namna.

Mapenzi yanauma jamani.

Leo nimemigia simu kiumbe cha mtu mara 20 respond.

Sms ndo kama 5O vile.

USIKU MWEMA JAMANI
Tusisumbuane ID feki wewe
 
Back
Top Bottom