Moyo wangu unaumizwa zaidi kwa haya pindi ninapohitaji kuweka mawasiliano kwa ukaribu

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
388
602
Hellow wakuu...

Kuna tabia kama tano zimekuwa zikinikera sana pindi ninapojaribu kutaka kufanya communication na watu kupitia mitandao yangu ya kijamii kama facebook,instagram,jf,twitter

Jambo la kwanza inauma na inakera unajalibu kumtext au kumpigia mtu wa karibu au rafiki tu kwa simu hapokei hata na mbaya zaidi unaona mfano kwa whatsup ya kuwa mtu huyo yupo online...

Jambo la pili...inauma na kukera kujaribu kujenga ukaribu na watu kwa kucoment thread au post zao lakini hauoni mtu akionyesha respond yoyote kwa mchango wako ulioutoa..

Jambo la tatu,,,,kujaribu kufanya ndugu,rafiki,mpenzi wako wa karibu kuwa nao karibu kimawasiliano ila hawaonyeshi respond yoyote juu yako...

Note,,niambie mambo gani yanakukera kwa mtandao ya social network???
 
mimi sipendi watu wanaojipendekeza kwangu
 
Mtoa mada kuto ni Pm wakati mm nachangia thread zako

Bad nite

Don't mind me
 
Hapo kwenye jambo la pili inategemea lakini na unavyoweka ukaribu naye...

Usijali take it easy, unajua mitandaoni kuna watu aina mbalimbali kwa hiyo jaribu kujichanganya na wale unaoendana nao itakusaidia zaidi

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Kumbuka hapa nimewaconclude hata ndugu zangu wa karibu pia hii imekaaje sasa na wanaokufahamu???
 
Kosa
Hellow wakuu...

Kuna tabia kama tano zimekuwa zikinikera sana pindi ninapojaribu kutaka kufanya communication na watu kupitia mitandao yangu ya kijamii kama facebook,instagram,jf,twitter

Jambo la kwanza inauma na inakera unajalibu kumtext au kumpigia mtu wa karibu au rafiki tu kwa simu hapokei hata na mbaya zaidi unaona mfano kwa whatsup ya kuwa mtu huyo yupo online...

Jambo la pili...inauma na kukera kujaribu kujenga ukaribu na watu kwa kucoment thread au post zao lakini hauoni mtu akionyesha respond yoyote kwa mchango wako ulioutoa..

Jambo la tatu,,,,kujaribu kufanya ndugu,rafiki,mpenzi wako wa karibu kuwa nao karibu kimawasiliano ila hawaonyeshi respond yoyote juu yako...

Note,,niambie mambo gani yanakukera kwa mtandao ya social network???
Kosa lako kubwa ni kufikiria kuwa watu wana ku care sana kama unavyo wa care wao..pole
 
Back
Top Bottom