Unajivunia nini kwenye Ulimwengu wa Mapenzi

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
388
602
Aisee..

Kiukweli katika Maisha Yangu Hakuna kitu nachojivunia kama kuwa na Upendo wa Dhati sana Japo Umeniumiza sana Maishani Mwangu.

Kingine najivunia sana kuwa mtu ambaye ninapendwa sana na Wanaume.

Niambie kitu gani unajivunia katika Maisha ya Mapenzi.

Halfu kuna watu wanasema ooh hii Id ya mwanaume sasa mnataka jf yote tuwe wanaume wengine Tuna papuchu jamani..

Usiku mwema Wapenzi.
 
Linapokuja swala la kungonoka na bakulutu wangu sina aibu hata lepe...

Sana sana namrembiriaga mijicho tuu, na akinigusa kunakoo.....

Sauti zinajipanga tuu inabadilika kuanzia ya kwanza hadi ya kumi na mbili ..... yaani jinsi anavyokanyagia gia ndivyo na mlio wa injini unavyobadilika 😋😋😋

Sijuagi kujivunga panapo kwenye uwanja wa vita hasa kama nimeandaliwa na minyee imepanda hadi kwenye ncha....

Ndo maana bakulutu wangu anakuwaga na wivu, akinikumbuka tuu lazima atukane 😅😅😅

Kasinde Mahaba Matata.
 
Hongera mama bakulutu☺️

Sauti zinajipanga tuu inabadilika kuanzia ya kwanza hadi ya kumi na mbili ..... yaani jinsi anavyokanyagia gia ndivyo na mlio wa injini unavyobadilika

Sijuagi kujivunga panapo kwenye uwanja wa vita hasa kama nimeandaliwa na minyee imepanda hadi kwenye ncha....

Ndo maana bakulutu wangu anakuwaga na wivu, akinikumbuka tuu lazima atukane

Kasinde Mahaba Matata.
wacha wee bibi wa mahaba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom