HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Hello guys.
Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7]
Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke usipewe[emoji1][emoji1], kama ni gari basi sawa hilo, nyumba kali yaani ni nzuri kabisa mwanaume akupangie Tabata huko.
Baby nahitaji laki 2 ya kusuka, imekuja. Baby nataka hela ya kucha na kagauni kazuri nimekaona Mlimani City. Yaani raha ya Dunia hii upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu maana mapenzi hata ngamia na njia anayo, bali atimize majukumu yako yote.
Kiukweli mwanaume tafuta hela siyo [emoji240] doggy style, kifo cha mende hata kwa mama kibonge au kwa lulenge utapewa.
Jamani nyie ma gentlemen wa JF tafuteni hela, watoto wa kike tunataka vitu vizuri ili twendee Mountain Kibo, nje na hapo itakuwa shombo eh!
Nawapenda.