Mapovu baada ya kuwaambia Watafute Hela Wanaume

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
388
602
Jamani Wana jf Wazima nyie.

Tukiwa tunaendelea kupambana na haka kahoma ketu ka mapafu. Sasa Tuje kwa mada.

Et Wanaume naona mmejaa Mapovu baada ya kuwaambia mkatafute hela.

Kiukweli nimeamini Dunia hii Wanaume wamsbaki wachache sana.

Hata ukisoma kwa biblia ushawishi mkubwa kwa mwanaume juu ya mwanamke ni UCHUMI(HELA)

Sasa leo Nyie mibaba nawaambia mkatafute hela naona Mapovu.

Na nyie ndo mnaopenda sana kulelewa sana Aiseee...

Be Gentlemen Jamani Wanaume narudia tena tafuta hela uwe na USHAWISHI.

WEEKEND NJEMA
 
Kwahio unapenda kulelewa? Kwahio hapo ulipo unasubiri mwanaume mwenye hela ,? Na pia je hili ni tangazo lako kiaina LA kutafuta mwanaume mwenye hela humu? Umefikia wapi? Siku hizi mmeishiwa wadangaji hadi mmechanganyikiwa, pole nikikuambia sasa hivi wanaume wanatulia na wenza wao a.k.a wake zao na kujali familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama suleman na daudi wangelalamika kama nyie jamani wangekuwa na wanawake hao buku
 
Mi 5 tena
FB_IMG_1614422500963.jpg


Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Unajaribu kujiona Pisi kaliii kumbe Wewe ni kaschana kadogo kadogo kembamba , kamekomaa, mishipa ya damu inaonekana kwa ngozi kanataka kuwaaminisha watu kua vyanamke vijinga kama wewe kazi yao ni kutoa K, ili wapewe



Wanaume tumekubaliana kutoa Pesa kwa Mwanamke wako, sio ki bikidude kama wewe.

Upo nyonyo hapo upo !!!
 
Mwanaume kutafuta hela ni jukumu lake kiasili na kimaumbile.....Mwanaume ambaye anajua maana ya uanaume wake lazima atafute hela......sio mpaka sambisa na mtu yoyote kwani ni fahari kwa mwanaume kutimiza wajibu wake......

Lakini pia mwanaume baada ya kutafuta hela kwa jasho anahitaji pumziko la nafsi, mwili na roho kutoka kwa mwanamke anayejua nafasi yake kwa mwanaume sio kwa CHANGUDOA ambaye ameugeuza mwili kuwa DUKA.......
 
Mwanaume kutafuta hela ni jukumu lake kiasili na kimaumbile.....Mwanaume ambaye anajua maana ya uanaume wake lazima atafute hela......sio mpaka sambisa na mtu yoyote kwani ni fahari kwa mwanaume kutimiza wajibu wake......

Lakini pia mwanaume baada ya kutafuta hela kwa jasho anahitaji pumziko la nafsi, mwili na roho kutoka kwa mwanamke anayejua nafasi yake kwa mwanaume sio kwa CHANGUDOA ambaye ameugeuza mwili kuwa DUKA.......
Kajinga akaa..

Kwakua ni kachangudoa, kataka kutuaminisha kua sisi tuwe tunatoa

Thubutuuuuuuu

Niingie job usiku na mchana...

Alafu Hela yangu kaile kanamke kama aka??


Weeeee kavaaa dela na vindala manyoya na kibegi kidogo chekundu, mvaa kikukuu mguun na shingon
 
mwanamke wa namna yako huwaga namwomba pale pa kunyea kwanza ili tuwe tunaongea lugha moja na kwa sababu una shida ya uto tuhela sijui elf 40 sijui 50 nakusugua pa kunyea ukafie mbele nikimalizana na wewe pesa ya maana inaenda nyumbani kwa mwanamke anaejielewa

Wadau wengi pia wamesisitiza kwamba hakikisha matundu yako yote masafi muda wote
 
Usithubutu kumwambia mwanajme majukumu yake utaaribu kila kitu

Mfano hv ww utajisikiaje mwanaume akikwambia majukumu yko mfano umekaa nyumban mumeo anarud anakwambia pesa hzo hapo nshatafuta aya nenda kafue na ukimaliza upike chakula uniletee na nikimaliza kula ujiandae ni mda doggy style !!!
 
bby nilikwambia utafute tako kwanza ndo nianze kukuonga utalia sana lkn bila tako upati hela yangu
 
Back
Top Bottom