Wote mnaotumia Facebook mna moyo wa ajabu sana

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
388
602
Wapendwa wangu mmeamkaje.

Twende hii kwa kipindi kirefu nimekuwa si mtumiaji sana wa hii mitandao ya kijamii sasa niliporudi kwa nguvu zote nikasema nianze na Jf hasa jukwaa langu pendwa hili la MMU.

Aisee wiki hii yote Jamani nikaona bora nipitie pitie Facebook(FB) sasa nimekuwa nikishangaa sana nijaribu kubishana nao kwa hoja naona wananiletea mambo nisizozielewa jamani.

Mna Moyo wa Chuma watu mnaotumia Facebook
 
Oh ni vizuri, but fb pamejaa watoto kiasi kwamba unaweza kuhisi unabishana na mtu kumbe ni limtu tu fulani hata fact hana ujuaji mwingi na anaweza kukushambulia ukajihisi head empty
Ndo nimeapa hapa sirudi tena labda kuangalia naipenda sana Jf huku ni fact hata kama Kuna mtoto lazima Ana dissolve tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa wangu mmeamkaje.

Twende hii kwa kipindi kirefu nimekuwa si mtumiaji sana wa hii mitandao ya kijamii sasa niliporudi kwa nguvu zote nikasema nianze na Jf hasa jukwaa langu pendwa hili la MMU.

Aisee wiki hii yote Jamani nikaona bora nipitie pitie Facebook(FB) sasa nimekuwa nikishangaa sana nijaribu kubishana nao kwa hoja naona wananiletea mambo nisizozielewa jamani.

Mna Moyo wa Chuma watu mnaotumia Facebook
Facebook imejaa wajinga wasio tumia akili, washenzi wa kuonyesha utupu wao na malaya wa kiume na kike japokuwa kuna watu wenye busara pia.
 
Oh ni vizuri, but fb pamejaa watoto kiasi kwamba unaweza kuhisi unabishana na mtu kumbe ni limtu tu fulani hata fact hana ujuaji mwingi na anaweza kukushambulia ukajihisi head empty 😂
Kwa maana nyingine ukiombwa friend request au ukiungwa kwenye group unakubali tu bila kuangalia kwa kina na mwisho wa siku ndio maana unaona kama facebook kumejaa watoto ambao kimsing umewakubali mwenyewe
 
Back
Top Bottom