Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

HERUFI KUBWA

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
388
602
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu

Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU

Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
 
Sa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?

Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?

Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
 
Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote
 
Sa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?

Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?

Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
Halfu wewe jibaba unaletaje comprasion na mwanamke wewe uko vipi kwani?
 
Sa si bora ndevu zenye ziko real, ushawahi sikia wapi wanaume wamevaa wigi la ndevu?

Vua wigi, vua kope, vua nyusi, vua kucha, vua makeup, vua matako. Nambie mpaka hapo utakua umebaki na nini?

Ukisha fanya hivyo kisha uje u-criticize wanaume wenye ndevu
Nashukuru kwa ushauri huu muruwa kabisa. Tena huyu mwanamke ajue kuwa, Mwanamume ni ndevu. Kama anawataka wasio na ndevu nadhani ana kakasoro fulani hivi. Huwezi kurudia rudia bure kuwa hupendi hata kuziona. Labda ana kahisia ka usagaji mahindi hivi.Wenzio ndio huona fahari kumpata mwenye ndevu
 
Back
Top Bottom