Search results

  1. jouneGwalu

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part - III)

    Siku ya Jumapili, ofisi ya Kisaki (Kwa Dada Kulwa) huwa inafunguliwa jioni na hasa ni kwaajili ya kutoa vibali vya wanaoingia jumatatu. Hivyo ilipofika mida ya saa kumi na mbili kasoro ya jioni nilifika pale na bahati nzuri sana Dada Kulwa hakuwepo. Alikuwepo msaidizi wake kijana mmoja...
  2. jouneGwalu

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira kwenye Mradi wa Bwawa la Umeme ( Part Two)

    Baada ya HR kusema hayo alitutoa nje ya ofisi yake, Hapo nikajiuliza kitu. Hivi yule "Dada Kulwa" alivyokuwa ananiambia kuwa amefunga kutoa vibali siku ile nilipofika na mimi kumkubalia hiyo kesho yake ningewezaje kuwahi hii interview? Pia nilichokiona mpaka hapo ni kuwa HR wa hii kampuni ya...
  3. jouneGwalu

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira kwenye mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part One)

    'Nilitamani ningeyajua haya kabla ya Kuomba ajira kwenye mradi wa "Bwawa la Nyerere" chini ya kampuni ya JV Arab Contractor & Elsewedy Electric' Kama ilivyo kwa vijana wengi wa kitanzania, katika pita pita zangu mitandaoni na kutafuta ajira nilikutana na tangazo ajira toka kwa hawa jamaa...
  4. jouneGwalu

    Kero: Hatuna Mamlaka ya Kuikemea Fast Jet??

    Ni mda sasa, karibia miezi miwili toka Fast Jet waanze vurugu na uhuni kwa wateja wao. Wanafuta na kubadili safari kwa kadiri wanavoona wao inafaa. Usumbufu wote muathirika wa mwisho ni abiria mwenye mipango na madhumuni tofauti ya safari. Kisa cha jana ndege ya kutoka Dar kwenda Mbeya asubuhi...
  5. jouneGwalu

    Cancer; Lets Combat This Nightmare!

    Nimeikuta sehemu hii kitu, nikaona sio vibaya tukishirikishana wanajamvi! PLEASE READ THIS AND SHARE IT TO ALL WHO YOU CARE THE MOST, LETS COMBAT THIS NIGHTMARE! LATEST CANCER INFORMATION from Johns Hopkins AFTER YEARS OF TELLING PEOPLE CHEMOTHERAPY IS THE ONLY WAY TO TRY AND ELIMINATE CANCER...
  6. jouneGwalu

    Siri Ya Mtungi.

    "Siri ya Mtungi" ni tamthilia ya televisheni inayofurahisha, inayoonyesha maisha ya Cheche, mpigapicha mwenye bashasha na mmiliki wa Studio ya Kupiga Picha ya Mtungi. Ana mke mrembo, Cheusi, aliyemzalia watoto wawili wenye afya na huku akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu. Cheche anampenda...
  7. jouneGwalu

    Saigon: Why I Care About Hip Hop.

    Why I care About Hip Hop "I decided I wanted to be a rapper in 1994. I was sitting in a prison cell in Upstate New York and made the decision that upon my release I would try my hand at it as a career. Not because I thought I was the best rapper at the time; but because I knew this was one...
  8. jouneGwalu

    Mwenye kuijua Schlumberger....Ushauri tafadhali!!

    Hii ni kampuni kubwa ya kijerumani inahusika na uchimbaji wa mafuta na gas!! Nimepitia site yao kwenye link hii ya Schlumberger ..... Naomba mpendwa yeyote mwenye kuifahamu kwa undani zaidi either kama ame/anafanya nao kazi hawa jamaa au ana mtu wake anayefanya kazi huko anishirikishe taarifa...
  9. jouneGwalu

    Kwa ma Bro wenye mabinti (watoto wao wa kike)... Tulonge!

    Mara kadhaa nimekuwa natafakari jinsi ya kuliweka hili.... Ila hapa Nas amenisaidia sana kulieza.. Changamoto katika kulea na kumjenga binti yako ukiwa kama mzazi pekee na Baba! Hii ni kwa Brothers jamani.... Kula hii video na lyrics za hii track then tuzoze! [Intro] Check it out... I...
  10. jouneGwalu

    Love story....

    Hii ni stori ya mahaba ya dhati, yalioanzia dimbani na kuishia Dimbani.
  11. jouneGwalu

    Magic powder!

    Hello wanajamvi. Salamu za upendo kwenu... Ningependa kufahamu madhara yatokanayo na matumizi ya "Magic Powder" kwa wale wasiofahamu jina hlo! Namaanisha ule unga unaotumika kunyolea hasa ndevu. Sikuhizi umekua maarufu sana kwenye hizi saloon zetu mtaani. Nataraji msaada wenu kwa hili...
  12. jouneGwalu

    Wanaume wa kiafrika... hii bado ni challenge!

    Nilikuwa napitia makabrasha hapa nikavutwa na maneno haya "............As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman..........." Botha's Speech -1985 - Racism At Its Worst. Mifano mtaani na mazingira bado inaonyesha wanaume wengi bado tunaangukia hapa...
  13. jouneGwalu

    Utamu wa movie ni SOUNDTRACK

    Ni soundtrack unaikumbuka na kwenye movie ipi.... Kuna movie nilizipenda sana na soundtrack zake.... Men of Honor! Maid in Manhattan! The Best Man!
  14. jouneGwalu

    Sisi watanzania, mapinduzi ya umma na CHADEMA (ni mapinduzi gani tutarajie toka kwa sisi watz?)

    Ipo wazi sana sasa kuwa hali ni mbaya! Kwa yanayoshuhudiwa kutokea katika medani ya siasa zetu, Hali mbaya hii imefasiliwa na kila msoma alama za nyakati, Wadau mbalimbali kutoka kila kada wametoa onyo juu ya hili. Ni muda sana toka tuasisi mizaha, uongo, unafiki, kulindana, na ubabaishaji...
  15. jouneGwalu

    Bad Moods; Una-deal aje?

    Natamani tu-share na wewe mwanajamvi, Una-deal aje na mtu mwenye "bad moods"? Tupeane xperience! As tunavyojua kuwa mtu akiwa kwenye "bad mood" Ni anaweza kukukwaza, ni anaboa wakati mwingine..! Kila mtu ana vituko vyake akiwa kwenye bad mood.. Wakati mwingine inatishia hata kuvunja...
  16. jouneGwalu

    Game yetu....!

    Ni muda sasa, toka music yetu ianze kuchukuliwa kwa umakini na hata kuundiwa harakati.. Ni vizuri, napongeza! Ningependa kuchukua fursa hii kukumbushia kidogo harkati za hii game ya music (hasa hiphop)... Miaka ya 90's hasa 94, mvumo ulisikika..... TMK, kulikuwa kuna washikadau GWM.... hawa watu...
  17. jouneGwalu

    Huyu Mwanamke......Me n' My lil Girl (happy bday Malaika)

    Leo ni siku ya kuzaliwa binti yangu wa pekee (mpaka sasa) mpendwa sana! Kwa mpaka sasa katika maisha yangu, huyu kiumbe ndio kitu kikubwa sana cha mafanikio yangu, na ndio sababu pekee inayonifanya napambana na ndio msingi wa furaha na mafanikio mengine. Anatimiza miaka mitatu (3), nipo mimi na...
  18. jouneGwalu

    Bongofleva........utata wa muziki wetu!

    Imeshakuwa kawaida, kama kawaida yetu watz, Saiv ukisikiliza redio, ukisoma magazeti na karibia media zote zinapokuwa zina ripoti mambo ya burudani na hasa muziki, utasikia neno muziki wa "bongo fleva" Bongofleva, inatafsirika kama ni muziki wa kibongo yaani wa kitanzania sababu saiv neno bongo...
  19. jouneGwalu

    Tuzo za mwanamichezo bora, itv!

    Mc akiwa ni Kibonde (ni kikwazo kwangu ila ngoja nijikaze tu), tuzo hizi ambazo zimeandaliwa na TASWA..... Categories za kutosha, za michezo mingi hapa bongo! Mgeni rasmi ni Mzee Ben Mkapa na Dr Bilal.....! Tuendelee kuangalia yanayojiri
  20. jouneGwalu

    Mchina anamjua RC wa Dar anaefuata!!

    Juzi nilitembelea ofisi za jamaa wachina wanaitwa Jiteng Consulting Company, hawa jamaa wapo pale Mikocheni B, nilikuwa naonana na mkurungenzi wake anaitwa Mr A. Huang! Katika stori yule mchina akaniambia kuwa RC wa Dar es salaam anaefuatia baada ya Lukuvi ni Bw. Jordan Rugimbani. Nimekuwa...
Back
Top Bottom